Narudi kuwekeza kijijini

Narudi kuwekeza kijijini

Je umewahi kufikiria kiwanda cha mikate/vitafunio kijijini?
 
Nipo,
sikutoka kwenye hii biashara mkuu, Wachina wametuamsha upya kwa jinsi wanavyofyeka miti Mufindi na Njombe.
Wanafyeka misitu for what purpose? Wananunua mbao au kitu gani. Wakifika bei nishtue nirudi kuwapa acre zangu 300 kaka.
 
HAWA JAMAA WANAVUNA MLINGOTI SANA KWA AJILI YA MARINE BOARDS NA CEILING BOARDS. PIA HATA PINES WAMEANZA KULAMBA PIA.
Mkuu Malila nimefurahi sana kukuona hapa, aisee mashamba yanapatikana kwa wingi katika vijiji gani huko?
 
Mkuu Malila nimefurahi sana kukuona hapa, aisee mashamba yanapatikana kwa wingi katika vijiji gani huko?
Mashamba makubwa yapo Lupembe vijiji vya Nyave, Ikondo, Mfiliga. Mufindi yapo Idete, Chogo, Kipanga. Mlimba yapo Uchindile, Kitete, Tanganyika Masagati. Madaba yapo Wino, Igawisenga, Ifinga na Maweso.
 
Asante sana Mkuu. Mlimba, Tanganyika na Madaba kote huko ni Mkoa wa Njombe, sivyo?
 
Back
Top Bottom