Polepole ameshacheza nafasi yake. Wewe mwenye mipango ya kijasusi umefanya nini?Sielewi kwanini alikuwa anajiamini bila kuwa na tahadhari ya kimkakati.
Nilidhani ana mbinu za kijasusi kumbe kajifungia kwenye kajumba hapo Dar na anatumia mawasiliano ya Tanganyika!
Polepole alishindwa kwenda hata hapo mpakani Tunduma au Malawi atuliaSielewi kwanini alikuwa anajiamini bila kuwa na tahadhari ya kimkakati.
Nilidhani ana mbinu za kijasusi kumbe kajifungia kwenye kajumba hapo Dar na anatumia mawasiliano ya Tanganyika!
Umeongea vyema sasa..kila mtu acheze nafasi yake na sio kuanza kumshangaa maamuzi ya mtu wakat ww hata hujathubutu!Polepole ameshacheza nafasi yake. Wewe mwenye mipango ya kijasusi umefanya nini?
Tatizo lenu mnafikiri maisha halisi ni movie ambayo lazima mwishoni steringi awe mshindi
Kuna mtu anadai ana mkeka wa tukio, sijui kama ni kweli..Hii kitu Ina matobo Matobo mengi sana... Kangevuja kakipande kadogo tu namna ambush imefanyika naamini upepo ungebadilika.
Katika safari ya mapambano wengine hupoteza maisha.Kafanya sehemu yake.Tusimlaumu. What happened happened. Walikamatwa kina Che Guevara ije kuwa Polepole ?Nani atusaidie kumpata? Marekani? Maandamano ya 29.10.25 yakifanyika kama ya Nepal, tutampata na wengine angalau hata maiti zao!
Polepole kwanini ulijiaminisha kuwa hapa. Ungelikwenda hata Scandinavian countries ungekuwa salama!
Kuna mtu anadai ana mkeka wa tukio, sijui kama ni kweli..
View: https://youtu.be/t5r4KUXji_s?si=GS0FaL7M_deyNAsX
... na hiyo damu imepimwa vinasaba kuthibitisha kuwa kweli ni ya, binaadam, muhusika!?Hata nyumba haikuwa na surveillance makini... Hadi Leo hakuna footage ya namna walivyomchukua..."kama kweli ni yeye alichukuliwa" inashangaza hakuwa na back up DVR ambayo angeiweka sehemu tofauti fiche itumike kama leverage just in case atapata majanga.
Hii maneno matupu kwamba kuna hiki na kile bado hakitoshi kuwashitua waliomchukua. Ni kazi ya professional hiyo ndio maana hakuna ushahidi wa kurejea tukio hilo....zaidi ya kuona mfano wa damu tu na milango kuvunjwa. Hii kitu Ina matobo Matobo mengi sana... Kangevuja kakipande kadogo tu namna ambush imefanyika naamini upepo ungebadilika.
... na hiyo damu imepimwa vinasaba kuthibitisha kuwa kweli ni ya, binaadam, muhusika!?
... kwakweli, maana Kwa jinsi jamaa walivyopania kulipua nchi basi mtu yupo tayari kugemwa damu akiwa Maulaya ili tu itumike kuwaweka walengwa wake hatiani!Hilo nalo linahitaji majibu yakinifu...
Inaweza kuwa mchezo wa wenyewe kwa wenyewe.
Unajua hata alipojibu polisi kuwa serikali ya tz imemtekeleza quba kule baada ya kujiudhuku jiliamini kuwa ni kweli.Nani atusaidie kumpata? Marekani? Maandamano ya 29.10.25 yakifanyika kama ya Nepal, tutampata na wengine angalau hata maiti zao!
Polepole kwanini ulijiaminisha kuwa hapa. Ungelikwenda hata Scandinavian countries ungekuwa salama!
Wanafikiri maisha halisi ni movie za wakina Rambo. Sasa mtu hajawahi kufuatiliwa hata na kibaka tu lakini anamponda Polepole aliekua anafuatiliwa serikali.Umeongea vyema sasa..kila mtu acheze nafasi yake na sio kuanza kumshangaa maamuzi ya mtu wakat ww hata hujathubutu!
Labda alitaka damu yake imwagike ili ituzindue zaidi who knows!