AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,395
- 3,411
... kwakweli, maana Kwa jinsi jamaa walivyopania kulipua nchi basi mtu yupo tayari kugemwa damu akiwa Maulaya ili tu itumike kuwaweka walengwa wake hatiani!
NI VITA KAMILI!
Mambo ni mazito haya, kama utayaangalia katika nyuzi 360 ...dots hazikubali kuunganika kabisa... Gaps kibao...
Tuvute muda ... labda mambo yatakaa sawa picha itaonekana.