... kwakweli, maana Kwa jinsi jamaa walivyopania kulipua nchi basi mtu yupo tayari kugemwa damu akiwa Maulaya ili tu itumike kuwaweka walengwa wake hatiani!
NI VITA KAMILI!
Una akili!?Si lazima mtu atumie ndege kuingia nchini. Wale Wahamiaji haramu wanaingia vipi nchini?
Akili ninazo. Unadhani asingetekwa bongo, Polisi wangeshindwa kuja na uthibitisho kamili kwenye kulisafisha jeshi lao dhidi ya hizo tuhuma?Una akili!?
Nimeuliza aliingiaje nchini!?
Nimehoji uwepo wake bongo. Kama ni kweli alitekwa bongo..