Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Huyataki haya mazingira?Baada ya kuchakata sana, sasa unarudi kijijini kwenu katerero..... Kila laheri wasalimie wazee huko.
Mi bado nipo mjini kila mtaa nasikia spika za chingaaa wa dunia.
Kweli kabisa, wengi hawajui hiliKjjn raha, burudani & mustarehe
Atajuana na mungu wakeMuongo huyo
Kuna baadhi ya vijiji bado vina mandhari nzuri ya kuvutiaUnaizungumzia Tanzania ya 1990 wewe.
Nowadays tofaut ya kijijin n mjin NI folen Tu ya usafir
Hayo mazingira ya ulaya hukooHuyataki haya mazingira?
View attachment 3121994
Ufike salamaNawaacha mpambane na kero za mjini
Inaelekea unafahamiana na huyu bwana mdogoWewe uende bush 🤣🤣🤣🤣 ngoja tuone 🤔🤔
Nimekaa mjini, sijasikia ile milio ya miluzi ya ndege kabisaMji una wenyewe,mjini njoo na akili,jembe na manguvu peleka kijijini,jogoo wa shamba hawiki mjini,mjini chuo kikuu
Hamna kwa posts zake tu za kupenda BATA hamna mwanakijiji hapoInaelekea unafahamiana na huyu bwana mdogo
Sasa hizo si picha za mbugani ba sio kijijini ,utaweza kweli kuwa mwanakijiji kwa bata zako unavozipendaHuku panavutia sana
View attachment 3122000
Haya mazingira ni mazuri sana, kama umewekeza mjini, fungu linakuwa linakuja huku kijijini unakula maisha vizuri sana.
Hapana, napenda kuishi kwenye mazingira ambayo hali ya hewa yake haijaathiriwa kwa shughuli za kibinadamuWe ni shabiki wa Besti Naso?
Ni wazo zuri, ndio najipanga nirudi zangu kijijiniUngetakiwa huu uzi uuandike ukiwa kijijini tayari
Kuna machaka huko Acha kabisa hakuna umeme wala mtandao wa simu, watu wamejificha wanafanya maisha tu taratibuUnaizungumzia Tanzania ya 1990 wewe.
Nowadays tofaut ya kijijin n mjin NI folen Tu ya usafir
Asituchoshe si aende kimya kimyaHamna kwa posts zake tu za kupenda BATA hamna mwanakijiji hapo
😂 nguvu za kiume zishamuishia huyo acha arudi akajifie.Baada ya kuchakata sana, sasa unarudi kijijini kwenu katerero..... Kila laheri wasalimie wazee huko.
Mi bado nipo mjini kila mtaa nasikia spika za chingaaa wa dunia.