Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!

Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako!

Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako, uchumi wako, mahusiano na jamii iliyokuzunguka, kinapora uwezo wa kuhudumia familia na watu waliokuzunguka, nk, halafu unatumia nguvu kubwa kuitetea na kuilinda na kuipigania mtu akikuambia madhara yake! Mtu unaweza kuacha vitu vingi hatu mbususu ni rahisi kuacha lakini sio pombe! Jamani pombe?

Mhhhhhh!!!??
 
 
Hapo itakua umelewa ngoja ziishe utakuja kufuta huu uzi
 
 
 
 
Naona haujawahi kukutana na betting.
 
Hizo character ulizotaja ni walevi kupindikia. Umeambiwa na paroko kunywa kiasi lakini usilewe wewe una lewa kupindukia.Kila jambo lifanyike kwa kiasi chake.

Halafu zana ya kusema pombe inaharibu afya sijui uchumi Wee unataka ufe na ini,figo,mapafu,moyo na bandama zima zima ili ukamlingishie nani? na unajuwa wazi kabisa mbinguni tutavikwa mwili mpyaa aaaa Yaaaaani piruuuuu
 
Wanasema wengine kulogwa au kuingiwa na mashetwani, ni sahihi?

 
Uwe specific, ni adui wa nani?
Hivi adui zako ni adui wa kila mtu humu au mtaani kwako?
Adui zako lazima wawe adui zangu? Au rafiki zangu ni lazima wawe adui zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…