Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Itakuwa umeshakuwa teja kunywa kishkaji
 
Kuna watu wasingezaliwa bila pombe.
 
Oh-ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana

View: https://www.youtube.com/watch?v=u2vt37RZdC8
 
Kila kitu kunahitaji discipline, hata maji tu ya kunywa yanahitaji kiasi, ukipitiliza ni kujiletea maradhi.

Have temperance, thats it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…