marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,774
Watanzania tuna matatizo gani? Magonjwa tunafurahia! Vifo tunafurahia! Mtu akitumbuliwa tunafurahia! Mtu akipigwa risasi tunafurahia! Nashindwa kuwaelewa Watanzania ni Nini tunataka kwa nchi wananchi wanafurahia nchi kupata matatizo unakuta mwananchi Hali ya chini akifurahia eti watu Fulani wametumbuliwa .
Kuna watu humu walikuwa wanaombea corona ifike kabla haijafika kisa kuikomoa serikali tz tupo seriously kweli Leo hii mfumo wa maisha umeharibika kwa sababu ya corona hatujui kuwa itaisha lini .sekta binafsi ambayo imeajili watanzania wengi inakufa watu wanapoteza ajira .tunafanya mizaha kwenye Mambo ya msingi .
Watanzania huwa na shindwa kuwaelewa huwa tunataka nn nchi ina amani Kuna wajinga wachache wanaombea eti tutakuwa Kama Libya munaona Libya ilivyo leo. Kifupi watanzania sijui tuna akili gani sisi tumeweka matumaini kwa wanasiasa tumesahau kuwa wanasiasa ni vigeugeu anaweza kutumia kifo chako wewe mnyonge kujineemesha na wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo. Wanasiasa sio wa kuwaimini wapo pale kwaijili ya kujineemesha tuu wao na vizazi vyao.