Narudia kuuliza! na nitarudia kuuliza watanzania tuna matatizo gani kufurahia matatizo?

Narudia kuuliza! na nitarudia kuuliza watanzania tuna matatizo gani kufurahia matatizo?

Watoto wa leo wametokana na wazazi wa zamani, viongozi wa leo wametokana na viongozi wa zamani.
Hapa kuna kazi kubwa sana.

.
 
Kwa hili in chama changu ndicho cha kulaumiwa ccm maana yenyewe ndiyo imebeba dhamana ya kuongoza nchi toka kipindi kile mpaka kipindi hiki!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio chama wala mfumo, tatizo ni watu wenyewe. Ccm au mfumo huu ulianza 1992 lakini kabla ya hapo tulikuwa na watu wengiwao ndio hao hao wanaoendelea kuongoza ama kushika madaraka sehemu mbalimbali. CCM imeingia na kuwakuta watu na tabia zao, yani hata ingeanza Chadema au NCCR-Mage au Chauta, n.k huko bado kama tabia za watu zilikuwa mbovu basi haya yangetokea tuu. Na tunachokishuhudia hapa ni mwanafunzi wa shetani aliyefuzu mafunzo na sasa anataka kuwa mkali zaidi ya mwalimu wake..
Tabia zetu roho zetu na mbaya zaidi akili zetu ni mbaya sana, na asipopatikana mtu wa kutukomboa, hakika hili litatufikisha mahali kula nyama ya mtu ionekane kawaida kabisa.
Nasikitika tu kuwa hatulijui hili na hatujui kama hatujui. Hakuna tutakachoweza fanya mpaka hapo tutakapong’amua kuwa kushindwa kujua kwamba hatujui ndiko kunakotufanya tuwe hivi kifikra na kimatendo.
 
Msingi wa yote ni familia mkuu,..

Kwaiyo malezi yananafasi kubwa sana, Huwezi pata Taifa bora kupitia familia mbovu, Hivyo basi kama Baba na Mama wakitambua wajibu wao wa msingi yaani Baba kuwa mlezi Bora na Mama kuwa Mzazi Bora, Hakika mtoto atarithi Hekima kutoka kwa baba na mapenzi kutoka kwa mama,

Ila familia nyingi unakuta wazazi hawatambui wajibu wao kwa kizazi chao ndio matokeo yake haya unakuza kizazi cha wapenda umbea, wasiopenda kuwajibika, walalamikaji na wasiojiamini angalia hata viongozi wengi wa Africa hufanya maamuzi kwa mihemko na si ki mantik hapo ndipo utagundua bado tuna safari ndefu sana.
 
Haya ni matokeo ya ubinafsi na uroho mbaya ulioasisiwa na CCM.
Mara ngapi viongozi wa CCM akiwemo na Rais anaongea vitu vinavyoashiria ubaguzi kwa watu wasio upande wake?.
Au nikutumie video kama 3 viwe ushahidi wa haya niliyoyaandika?
 
Samahani me sijakuelewa hapa bro. Watanzania hawako serious katika nini Corona, kazi au siasa .?
Watanzania tuna matatizo gani? Magonjwa tunafurahia! Vifo tunafurahia! Mtu akitumbuliwa tunafurahia! Mtu akipigwa risasi tunafurahia! Nashindwa kuwaelewa Watanzania ni Nini tunataka kwa nchi wananchi wanafurahia nchi kupata matatizo unakuta mwananchi Hali ya chini akifurahia eti watu Fulani wametumbuliwa .

Kuna watu humu walikuwa wanaombea corona ifike kabla haijafika kisa kuikomoa serikali tz tupo seriously kweli Leo hii mfumo wa maisha umeharibika kwa sababu ya corona hatujui kuwa itaisha lini .sekta binafsi ambayo imeajili watanzania wengi inakufa watu wanapoteza ajira .tunafanya mizaha kwenye Mambo ya msingi .

Watanzania huwa na shindwa kuwaelewa huwa tunataka nn nchi ina amani Kuna wajinga wachache wanaombea eti tutakuwa Kama Libya munaona Libya ilivyo leo. Kifupi watanzania sijui tuna akili gani sisi tumeweka matumaini kwa wanasiasa tumesahau kuwa wanasiasa ni vigeugeu anaweza kutumia kifo chako wewe mnyonge kujineemesha na wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo. Wanasiasa sio wa kuwaimini wapo pale kwaijili ya kujineemesha tuu wao na vizazi vyao.
 
Noted mkuu,na wamekuelewa.
 
Mbegu ukiipanda humea, mwishowe husitawi.
 
Kuna kipindi hata timu ya Taifa ilikuwa ikiombewa mabaya .
 
Back
Top Bottom