Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu uko km mm nikitia mafuta ya 10000 hua nasahau kabisa maana napiga misele mpaka basi.
 
Humu kuna watu wanatokwa mapovu hatari.Jamani hata mm natamani kua na gari sema uchumi hauruhusu na kipikipiki changu kinanisaidia.Ila ukweli uko pale pale kwenye daladala zetu ustaarabuHakuna,Kwa mfano pale ferry kigamboni uko zako smart mtu na ndoo yake ya samaki full harufu anakuja kukaaa hajali wala nn ukimwambia please bro mm naingia mishe jaribu usiniegemee sana nikachukua hiyo shombo ya samaki jibu atakalo kupa unaweza kurusha ngumi.Sasa kwa nn hata mm nisipende kua na gari au hata pikipiki ama bajaji ya kunipa uhuru na amani niendapo popote.
 
Naona mnaanza kutumia kingereza kufichia umaskini.

Rudi kwenye mada mtoa mada hajazungumzia kutembea kwa miguu. Kasema usafiri wa daladala
Now i have come to a conclusion that, "even common sense is not common".
 
Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.
Tatizo ni la enzi na enzi, nilitegemea wasomi wangetafutia permanent solution

 
Nakubaliana na wewe kabisa 100%
 
wale w
Sio kweli.

Kuna bosi mmoja mkinga ,

Ana magari mengi tu,

Naona anayapaki tu na kwenye mwendokasi anadandia.
wale wachawi wale ...hayo magari jua kabisa ni misukule cheza na kinga boys weye
 
safi kabisa mkuu,,,kuendesha gari kinahitaji utulivu wa akili na mwili na concentration ya hali ya juu,,,lasivyo utaua watu hivyo nakubali ni kweli wengne wanapanda daladala wakati magari wanayo tena yakiwa na full/half tank
 
Boda kwa sasa bei rahs kwa mwenye uchimi walau mdg nunua yakwako sku ukipanda hzo daladal iwe kama throwback😛😛
 
Fikra mpya kwenye daladala, hii mpya.
 
Kwamba mwendokasi inawahi kuliko usafiri binafsi, unazungumzia Dar ya wapi?

Sio kila kitu cha huko duniani kinafanya kazi hapa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…