Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

USAFIRI wa WALALA HOI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na gari ndogo (za mikopo) ni gharama kwa mtu mmoja kutoka mbagala mpaka tegeta. Paki gari nyumbani panda daladala
 
KUKATWA KIDOLE NA MLANGO WA MWENDOKASI IS ALMOST IMPOSSIBLE SABABU ILE NI RUBBER

ILA MENGINEYO NI UKWELI MTUPU

UMESAHAU KUBAMBIWA
UMESAHAU KUBAMBIWA

Hapa ndo penye na ukiwa na kalio kubwa huwezi kukwepa hili kwenye private car hii burudani haipoo[emoji23][emoji23]
 
Nimepata wazo zuri la biashara hapa, kwa mwenye mtaji changamkia fursa hii, tafuta coaster au yutong nzuri classic wewe utakua unabeba level sit halafu ndani muwe luxury flani gari yako itakua stuff unabeba watu wenye kipato cha kati au wenye pesa na magari yao ila tu wameyaacha nyumbani kwa sababu mbalimbali.

Kwenye bus lako nauli iwe 2000 badala ya 400. Am sure utapiga pesa kistar.!!
 
Kuna raha kupanda daladala,

Nawafaham watu wenye gari 2/3 na wanapanda daladala. Especially wanapokuwa na muda na wanapoenda sio mbali na stendi ya daladala.
 
We Binti sasa unaposema "Mwenzako kapaki range rover ya 2019" una maanisha nini?

Hivi toka upewe talaka ndio imekua hasira zako unahamishia kwa watu wote? Jitulize ili uje uposwe na mwingine,usikate tamaa mapema hivi.
Kabadirishe Pedi Mwajuma.

Punguza hasira kwa Ex wako sina time na wewe takataka.

Idiot.
 
Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna raha kupanda daladala,

Nawafaham watu wenye gari 2/3 na wanapanda daladala. Especially wanapokuwa na muda na wanapoenda sio mbali na stendi ya daladala.
Kuna tofauti kubwa ya kupanda Daladala huku una Gari lako na kupanda Daladala huku huna hata Baiskel ya Swala.

Jamani shida hazizoeleki tutafute hela tuwe na magari tuache visingizio[emoji3]
 
Kabadirishe Pedi Mwajuma.

Punguza hasira kwa Ex wako sina time na wewe takataka.

Idiot.
Binti fuata ushauri niliyokupa ili usichelewee nyumbani kwa Bimkubwa,utaposwa tu ila weka heshima mbele huo ndio mtaji wako,usipobadilika utakua unapigwa talaka kila ndoa unayoingia.
 
Kuna tofauti kubwa ya kupanda Daladala huku una Gari lako na kupanda Daladala huku huna hata Baiskel ya Swala.

Jamani shida hazizoeleki tutafute hela tuwe na magari tuache visingizio[emoji3]
Yule mumeo mpemba hakukununulia gari mpaka leo? Ina maana alikupa ahadi ya uongo?
 
Binti fuata ushauri niliyokupa ili usichelewee nyumbani kwa Bimkubwa,utaposwa tu ila weka heshima mbele hio ndio mtaji wako,usipobadilika utakua unapigwa talaka kila ndoa unayoingia.
Ukiwa Kwenye Bleed huwa una hamu Sana na mishedede shwaini wewe.

Nitafute siku ukimaliza Bleed nikunyooshe.
 
Shida ni kupata kibali kutoka kwenye mamlaka.
Ila ni business nzuri
 
Ukishangaa wakati wa kugombea siti utaishia kuibiwa nauli tu na siti unakosa.
Unakuwa hivi

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheheeh jamaa katuchana ukweli...ila daladala zinapoteza muda sana njiani...nikipata lift ya washikaji kuelekea town ndio huwa nagundua daladala napoteza muda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…