Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

Kwa uelewa wako unajua ukishakuwa na Gari wewe Ni Tajiri.
Pole Sana Kama ndio uelewa wako.
 
Ukiwa Kwenye Bleed huwa una hamu Sana na mishedede shwaini wewe.

Nitafute siku ukimaliza Bleed nikunyooshe.
Bwana wa kipemba toka akupige talaka kwa kuchepuka na yule muuza mkaa naona umechanganyikiwa kabisa,

Tuliku tahadharisha ila naona ulinogewa ukaziba na masikio,sasa kilio chako na vihasira vya kuachwa unataka uvimalizie kwa watu usio wajua.
 
Kabadirishe Pedi hizo.

Siongei na Mwanamke akiwa siku zake.
 
Jamaa kaandika kwa uchungu sana , duu pole sana hata mwendokasi wa sasa ni kwaajili ya masikini tu umeona jinsi wanavyojazana mule na kujambiana yaani ni shida tupu ,siju nchi hii kama kuna jambo lolote la maana ambazo linaweza kufanyika likawa na tija, all craps
 
Tuaonze kampeni ya kupinga unyanuyasaji wa namna hii
 
Naomba kuongezea nyama kidogo kuwa kupanga jijini Dar ni kwa masikini matajiri wamejenga halafu wanatumia usafiri wa umma
unajipa matumaini lakini matajiri kama hawataki kutumia magari yao basi wana kodisha bolt au uber ....hayo mambo ya kubanana kwenye madaladala si ya kitoto .....yaani mtu uwe na kauwezo halafu ugombanie daladala mara ukanyagwe,upumuliwe ...duh hiyo wanaweza Wakinga tu au yule tajiri anayemiliki kampuni kuuubwa ya GALILAYA manake ni utajiri wao ni wa masharti...
 
Back
Top Bottom