Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned

Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari Nimeisha install official app ila bado inaniambia ni download official app.
Screenshot_20260708_115334.jpg


Hii ni kwa sababu account yangu iko banned, Je kuna hack yoyote ya kuweza kufuta hiyo ban? Nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia ni download official app ila sioni matokeo.

Masada ndugu zangu maana account hii ndo inanisaidia kwenye mishe zangu.
 
Download official Whatsapp , hizo unofficial apps acha kabisa kuzitumia.

Ukisha download na bado ikaendelea kuzingua, wasiliana nao kwa njia ya email wataifungua.
Ninilisha fanya hayo yote ila bado matokeo ni zero
 
Back
Top Bottom