Mkasa kama huu ulimkumba Thiery Henry
so sad " kwakweliSheria za maswala ya malezi US zimempa nguvu sana mwanamke,mpaka sometimes wanatumia kama kigezo cha kuwachapia wanaume waliozaa nao.Sasa pata picha miaka 10 hujaonana na mtoto wako,hayo maumivu hayaelezeki,ndio mana sisi wanaume tunawahi kufa mapema sababu tuna mengi sana vifuani tumeyajaza ila tunaamua kukaa kimya.Wanaume wengi wananyanyasika sana,ila ndio hivyo unaamua kufa kiume na maumivu yako moyoni ,ila hili halivumiliki,kwani ukilivumilia utajenga uadui na mtoto wako huko siku za usoni,kwani hujui sumu gani mama anampa mtoto ili kukuchafua wewe.
Aisee "... kweli kabisaWanawake katili sana, mkianza mapenzi inakuwa raha tupu, baada ya mtoto na mifarakano ni ahera, shida..
Huko huko kwa Trump,upuuz huu ukiufanya huku itakukata vibaya!Kweli nyani haoni kundule
Yaani nyie wanaume mnajiliza hapa mnaanini vipi huyo Nas wenu msafi msiwe na double standard yaani ufanye upuuzi wako uchekewe plz wanawake tuendelee kukaza hivyohivyo maujinga ya wazazi mtoto asiyaone fullstop
Ilo ndo tatizo, unakutana na manzi anajibrand kwa ukicheche na wewe unafall mazima mpaka tattoo juu. ... ungesefe wa chuo kikuu. .... mwanamke bora mama angu tuKelis said her milkshake brings all the boys to the yard
Then Nas went and tattooed the bitch on his arm..50 cent
Mbele ndo sana Wanaume kufanywa mitaji, kumbuka kisa cha Chris Brown na yule Manzi alizaa nae, ishu ya 50 Cents na Marquise, Mike Tyson, Usher Raymond..... never ending list.Sheria nyingine ni za kichoko.Yaani miaka kumi bila kumuona mwanangu kwa ajili ya ujinga wa mwanamke!!!Huyu Kelis anamtumia mtoto kujinufaisha yeye,coz anajua Nas ana mapenzi na mwanae.Na wanaume kufanywa mitaji hadi mbele ipo kumbe?