Nas: The price I pay to see my son!

Nas: The price I pay to see my son!

Mkasa kama huu ulimkumba Thiery Henry

T. Henry.... Enzi zake akiwa anawika kwenye soka nilikuwa namhusudu sana. Sina hakika kama alikataa mimba au hakutunza mtoto.

Mahusiano yako very complicated ila bado namhusudu japo hamfikii Dadii kwa jinsi ninvyomhusudu.
 
Wanaume bana mnapendana kabla ya kuzaa ukizaa tuu anampenda mtoto we hakupendii hahah lazma tafrani ianzw
 
Sheria za maswala ya malezi US zimempa nguvu sana mwanamke,mpaka sometimes wanatumia kama kigezo cha kuwachapia wanaume waliozaa nao.Sasa pata picha miaka 10 hujaonana na mtoto wako,hayo maumivu hayaelezeki,ndio mana sisi wanaume tunawahi kufa mapema sababu tuna mengi sana vifuani tumeyajaza ila tunaamua kukaa kimya.Wanaume wengi wananyanyasika sana,ila ndio hivyo unaamua kufa kiume na maumivu yako moyoni ,ila hili halivumiliki,kwani ukilivumilia utajenga uadui na mtoto wako huko siku za usoni,kwani hujui sumu gani mama anampa mtoto ili kukuchafua wewe.
so sad " kwakweli
 
Kweli nyani haoni kundule
Yaani nyie wanaume mnajiliza hapa mnaanini vipi huyo Nas wenu msafi msiwe na double standard yaani ufanye upuuzi wako uchekewe plz wanawake tuendelee kukaza hivyohivyo maujinga ya wazazi mtoto asiyaone fullstop
Huko huko kwa Trump,upuuz huu ukiufanya huku itakukata vibaya!
 
Sheria nyingine ni za kichoko.Yaani miaka kumi bila kumuona mwanangu kwa ajili ya ujinga wa mwanamke!!!Huyu Kelis anamtumia mtoto kujinufaisha yeye,coz anajua Nas ana mapenzi na mwanae.Na wanaume kufanywa mitaji hadi mbele ipo kumbe?
 
Sheria nyingine ni za kichoko.Yaani miaka kumi bila kumuona mwanangu kwa ajili ya ujinga wa mwanamke!!!Huyu Kelis anamtumia mtoto kujinufaisha yeye,coz anajua Nas ana mapenzi na mwanae.Na wanaume kufanywa mitaji hadi mbele ipo kumbe?
Mbele ndo sana Wanaume kufanywa mitaji, kumbuka kisa cha Chris Brown na yule Manzi alizaa nae, ishu ya 50 Cents na Marquise, Mike Tyson, Usher Raymond..... never ending list.
Yani huko ni mpaka wafikishane mahakamani
 
Back
Top Bottom