Huyu atakuja kujiletea matatizo. Yaan rais wako anaapishwa na wewe unaapishwa na watu wako. Naona mwisho wake kisiasa umekaribia. Yetu macho.Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa hilo Siku hiyo ya Jumanne.
Nini Maoni Yako ?
View attachment 634807
kama mahakama zilitishwa unategemea nini? Kuna haki gani? Africa ni Vichwa vya waenda wazimu, vinawaza upumbavu tu? Kuna kabila fulani linaona lenyewe lina haki ya kutawala nchi na lingine halina haki hapo ndio ambapo patawakwamisha tu.... Mkiacha ukabila mambo yote yataenda sawa?Hii ni fujo sasa huyu jamaa kweli ana shida kubwa kwenye kichwa chake katiba ya kenya inaruhusu mambo kama hayo??Kenyata ni mvumilivu yeye aliacha muda upite kama kuna wanapinga matokeo mahakamani wasikilizwe,kweli wamesikilizwa na pingamizi zao kutupwa sasa hapo Raila ataapishwa kwa misingi ipi??kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.
Nasa inaongozwa na ujinga