NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa hilo Siku hiyo ya Jumanne.

Nini Maoni Yako ?

Source : UKOMBOZ BLOG
Kenyatta-Odinga1.jpg
 
Kinyume na taratibu na sharia za nchi kuwa na marais wawili..
 
Hii ni fujo sasa huyu jamaa kweli ana shida kubwa kwenye kichwa chake katiba ya kenya inaruhusu mambo kama hayo??Kenyata ni mvumilivu yeye aliacha muda upite kama kuna wanapinga matokeo mahakamani wasikilizwe,kweli wamesikilizwa na pingamizi zao kutupwa sasa hapo Raila ataapishwa kwa misingi ipi??kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa hilo Siku hiyo ya Jumanne.

Nini Maoni Yako ?

View attachment 634807
Huyu atakuja kujiletea matatizo. Yaan rais wako anaapishwa na wewe unaapishwa na watu wako. Naona mwisho wake kisiasa umekaribia. Yetu macho.
 
Kama unyumbu vile, mhusika mkuu anakula kuku Visiwani wakati wao wanapigwa mabomu!
 
Hilo ni kosa la uhaini na anatakiwa anyongwe kuepusha kuliingiza Taifa la Kenya kwenye vurugu
 
kama
Hii ni fujo sasa huyu jamaa kweli ana shida kubwa kwenye kichwa chake katiba ya kenya inaruhusu mambo kama hayo??Kenyata ni mvumilivu yeye aliacha muda upite kama kuna wanapinga matokeo mahakamani wasikilizwe,kweli wamesikilizwa na pingamizi zao kutupwa sasa hapo Raila ataapishwa kwa misingi ipi??kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.
kama mahakama zilitishwa unategemea nini? Kuna haki gani? Africa ni Vichwa vya waenda wazimu, vinawaza upumbavu tu? Kuna kabila fulani linaona lenyewe lina haki ya kutawala nchi na lingine halina haki hapo ndio ambapo patawakwamisha tu.... Mkiacha ukabila mambo yote yataenda sawa?
 
NASA waache huo mchezo utaigharim pakubwa Kenya.
Odinga hakushiriki uchaguzi wa marudio na pia matokeo ya uchaguzi wa kabla yake ambayo tume ilimtangaza Kenyatta yalufutwa so hata kama aliibiwa kura.
 
Mhh hiyo sio sawa wasijekuuana bure.Rais ni uhuru finished
 
Back
Top Bottom