KWELI NASA mwaka 2024 waligundua jiwe ambalo lingetarajiwa kudondoka duniani mwaka 2032

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
jamani
 
Huyu jamaa muongo. Kajitungia habari kuzua hofu.

Jinger kabisa.

Hilo jiwe haliji Tanzania na uwezekano wa tukio kutokea ni asilimia 2 mpaka sasa.
 
Jiwe anarudi kwa mtindo tofauti!
 
Dunia imefunikwa.. hakuna kinaingia wala kutoka.

Hofu hushusha kinga ya mwili, magonjwa hufata na mwishowe watu hufa kwa ukiwa na upweke.

Kuua Muafrica inahitaji akili ndogo sana maana hawataki kuongeza maarifa.
 
Uzuri wabongo sie kila kitu tunakitazama katika jicho la kisiasa tu
 
Lishuke liwaondoe kwa nguvu waleee vinganganizi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ