KWELI NASA mwaka 2024 waligundua jiwe ambalo lingetarajiwa kudondoka duniani mwaka 2032

KWELI NASA mwaka 2024 waligundua jiwe ambalo lingetarajiwa kudondoka duniani mwaka 2032

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฎ

Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia, pamoja Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

images.jpeg
 
Tunachokijua
Kwa mujibu wa NASA, jiwe lililopewa jina la asteroid 2024 YR4, liinakadiriwa kuwa na ukubwa wa futi 130 - 300 (mita 40 - 90). Asteroid 2024 YR4 iliripotiwa kwa mara ya kwanza na kituo kijulikanacho kama Minor Planet Center, kituo cha kimataifa cha kuhifadhi vipimo vya mkao wa miili midogo ya angani โ€“ na mfumo wa Asteroid Terrestrial-impact Last Alert System (ATLAS) unaofadhiliwa na NASA nchini Chile mnamo Desemba 27, 2024.

Wakati ilipogundulika kwa mara ya kwanza ilielezwa kuwa jiwe hili linaweza kushuka ulimwenguni mwaka 2032 na linaweza kuwa na athari kubwa kwa maeneo ambapo litadondokea. Ikiwa asteroid hii ingeingia katika angahewa, ingeweza kusababisha mlipuko wa angani (airburst). Ikiwa ingetokea juu ya bahari, haingeweza kusababisha tsunami kubwa.

Ila kama ingeanguka juu ya eneo lenye watu, athari zingetegemea ukubwa wake halisi. Kwa ukubwa wa chini (futi 130 - 200), ingeweza kuvunja madirisha na kusababisha uharibifu mdogo wa miundombinu. Ikiwa ni upande wa juu wa ukubwa (futi 300), ingeweza kuharibu majengo ya makazi na kusababisha uharibifu mkubwa zaidi.

NASA imeeleza kuwa kutokana na ufuatiliaji wao unaoendelea wamebaini kuwa hapo awali kulikuwa na uwezekano mdogo wa jiwe hilo kugonga Dunia tarehe 22 Desemba 2032, lakini uchunguzi zaidi umeonyesha kuwa hakuna hatari kubwa ama athari kwa Dunia mnamo 2032 au baadaye itakayotokana na jiwe hilo.
Ndio maana kila siku nawaambia toeni watoto WENU shule za Ems muwa hamishie Kayumba. Mnajistress nini kusomesha Ems wakati Kuna jiwe linakuja duniani, nyie vipi nyie.

Haya sasa twende kazi, kimbia haraka sana hadi shule ya Ems katoe watoto wako huko walete Kayumba.

Thank me later๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
jamani
 
Huyu jamaa muongo. Kajitungia habari kuzua hofu.

Jinger kabisa.

Hilo jiwe haliji Tanzania na uwezekano wa tukio kutokea ni asilimia 2 mpaka sasa.
 
๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฎ

View attachment 3241102

Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia, pamoja Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

View attachment 3241104

Nchini zenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na hii changamoto ni India, Bangladesh, Pakistani, Sudan, Nigeria, Venezuela, Colombia, Tanzania, Zimbabwe, Nigeria nk.

Ambapo ikitokea asteroid imetua duniani inatoa nishati yenye nguvu ni Mara 500 zaidi ya bomu la atomic bomu (bomu la nyukl
ia).
Jiwe anarudi kwa mtindo tofauti!
 
Dunia imefunikwa.. hakuna kinaingia wala kutoka.

Hofu hushusha kinga ya mwili, magonjwa hufata na mwishowe watu hufa kwa ukiwa na upweke.

Kuua Muafrica inahitaji akili ndogo sana maana hawataki kuongeza maarifa.
 
Uzuri wabongo sie kila kitu tunakitazama katika jicho la kisiasa tu
 
Back
Top Bottom