KWELI NASA mwaka 2024 waligundua jiwe ambalo lingetarajiwa kudondoka duniani mwaka 2032

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฎ

Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia, pamoja Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

images.jpeg
 
Tunachokijua
Kwa mujibu wa NASA, jiwe lililopewa jina la asteroid 2024 YR4, liinakadiriwa kuwa na ukubwa wa futi 130 - 300 (mita 40 - 90). Asteroid 2024 YR4 iliripotiwa kwa mara ya kwanza na kituo kijulikanacho kama Minor Planet Center, kituo cha kimataifa cha kuhifadhi vipimo vya mkao wa miili midogo ya angani โ€“ na mfumo wa Asteroid Terrestrial-impact Last Alert System (ATLAS) unaofadhiliwa na NASA nchini Chile mnamo Desemba 27, 2024.

Wakati ilipogundulika kwa mara ya kwanza ilielezwa kuwa jiwe hili linaweza kushuka ulimwenguni mwaka 2032 na linaweza kuwa na athari kubwa kwa maeneo ambapo litadondokea. Ikiwa asteroid hii ingeingia katika angahewa, ingeweza kusababisha mlipuko wa angani (airburst). Ikiwa ingetokea juu ya bahari, haingeweza kusababisha tsunami kubwa.

Ila kama ingeanguka juu ya eneo lenye watu, athari zingetegemea ukubwa wake halisi. Kwa ukubwa wa chini (futi 130 - 200), ingeweza kuvunja madirisha na kusababisha uharibifu mdogo wa miundombinu. Ikiwa ni upande wa juu wa ukubwa (futi 300), ingeweza kuharibu majengo ya makazi na kusababisha uharibifu mkubwa zaidi.

NASA imeeleza kuwa kutokana na ufuatiliaji wao unaoendelea wamebaini kuwa hapo awali kulikuwa na uwezekano mdogo wa jiwe hilo kugonga Dunia tarehe 22 Desemba 2032, lakini uchunguzi zaidi umeonyesha kuwa hakuna hatari kubwa ama athari kwa Dunia mnamo 2032 au baadaye itakayotokana na jiwe hilo.
Imagine Kuna mtu anataka tuishi kwa waswasi kwa miaka Saba kuanzia Leo๐Ÿค”๐Ÿค”
Huyu ni msenge tu dunia unafikiri kama sio ulinzi wa Allan sw ingekuwepo hakuna jiwe wala nn hv miaka billions ya dunia ulisikia limeanguka wapizaidi ya fragments kama zile za mbozi hata hyo ukifika mda hakuna kitu usicheze na M/Mungu
 
๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฎ

View attachment 3241102

Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia, pamoja Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

View attachment 3241104

Nchini zenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na hii changamoto ni India, Bangladesh, Pakistani, Sudan, Nigeria, Venezuela, Colombia, Tanzania, Zimbabwe, Nigeria nk.

Ambapo ikitokea asteroid imetua duniani inatoa nishati yenye nguvu ni Mara 500 zaidi ya bomu la atomic bomu (bomu la nyukl
ia).
Ndio njia pekee ya kuleta mabadiliko kwenye hii nchi.
 
Hii habari ya kupiga Tanzania umeitoa wapi?

Kwenye hii projection Tanzania haipo.

2032 bado ccm watakuwa kwenye wizi wa uchaguzi na wakizidi kumpa vyeo wasira.
IMG_0612.jpeg
 
Mkuu hamuwezi mkaliongeza speed lishukie ikulu kati ya 2025- 2029 ili mama Samia aingie katika historia ya wanawake walio pokea mawe kutoka angani.
 
Ndio sio habari za kushtusha tena hizo maana tuliambiwa kuna sayari inakuja kugongana na dunia mpaka sasa haijafika tu
 
Du, nafuu. Ili nasi tubakie kwenye vitabu vya historia tu
Kwa maana hakuna cha maana kinachofanyika bongo aisee lishuke hata sasa pale magogoni dasalamu
Imagine Kuna mtu anataka tuishi kwa waswasi kwa miaka Saba kuanzia Leo๐Ÿค”๐Ÿค”
Mkuu kuna nini cha maana hapa tanzania ikiwezekana lishukie manzese na kinondoni yote sehem za uswahilini ibaki historia tuwe tunaenda kuangalia makumbusho maana ushoga umekithiri sana maeneo hayo
 
Nasubiri kuliona. Kama Mungu atanijalia nitakuwa na umri wa miaka 80. Sijui litaangukia Mkoa gani.
 
Ni hiyo basi tu lakini kama dunia tusingekuwa na lile chujio kule juu, mawe yote ya space yangetuua na asibaki mtu dunia nzima. Nani wa kumshukuru Kwa hilo?
 
Back
Top Bottom