Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wamchukue Tulia Atickson anatafuta sana fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Figo za nini Mars haendi kufanya kaziHaaaaa Haaaaa [emoji23] moja inamtosha
Hivi umelisoma tangazo au umekurupuka na kukoment tu? Wapi wamesema wanatafuta watu wa kwenda kuishi Mars?Sisi wabongo mbona ni wepesi sana kukubali kila jambo mbogo kwa Experiments daaah shida sana. Wao kama wao NASA wanaogopa kwenda kuishi huko sayari ya Mars si waende wao akaaah mpishi wa chakula ni mwingine na anayeonja chumvi tena ni mwingine