Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jan 16, 2022 #21 Wamchukue Tulia Atickson anatafuta sana fursa.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 16, 2022 #22 Hii kitaalam tunaita Chambo a.k.a Mbuzi wa kafra.
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Jan 16, 2022 #23 Bushmamy said: Haaaaa Haaaaa [emoji23] moja inamtosha Click to expand... Figo za nini Mars haendi kufanya kazi
Bushmamy said: Haaaaa Haaaaa [emoji23] moja inamtosha Click to expand... Figo za nini Mars haendi kufanya kazi
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Jan 16, 2022 #24 mosses son said: Sisi wabongo mbona ni wepesi sana kukubali kila jambo mbogo kwa Experiments daaah shida sana. Wao kama wao NASA wanaogopa kwenda kuishi huko sayari ya Mars si waende wao akaaah mpishi wa chakula ni mwingine na anayeonja chumvi tena ni mwingine Click to expand... Hivi umelisoma tangazo au umekurupuka na kukoment tu? Wapi wamesema wanatafuta watu wa kwenda kuishi Mars?
mosses son said: Sisi wabongo mbona ni wepesi sana kukubali kila jambo mbogo kwa Experiments daaah shida sana. Wao kama wao NASA wanaogopa kwenda kuishi huko sayari ya Mars si waende wao akaaah mpishi wa chakula ni mwingine na anayeonja chumvi tena ni mwingine Click to expand... Hivi umelisoma tangazo au umekurupuka na kukoment tu? Wapi wamesema wanatafuta watu wa kwenda kuishi Mars?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 16, 2022 #25 Ngoja tuone...