King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kabla ya NASA kuwepo vimondo vilikuwa havianguki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe punguza kuwaskiliza sana wazungu bab utapotea....Hii Dunia ina mwenyewe na anajua kila kitu kinachoendelea,halali wa hasinzii...kila kitu kinakwenda kama alivyopanga.Nilidhani watakuja wapenda sayansi ya anga tujadili, lakini nimevamiwa na wafia dini....
Vichwa vemejazwa hadithi za kusadidikika....na wanaamini mazima...poleni sana
Hii ndio tatizo tunalosema tuache kukariri vitabu vya histiria ya sayansi na tuanze kuielewa sayansi yenyewe ni nini...
Metre per hour is a metric unit of both speed (scalar) and velocity (Vector (geometry)). Its symbol is m/h or m·h−1 (not to be confused with the imperial unit symbol mph. By definition, an object travelling at a speed of 1 m/h for an hour would move 1 metre.
Unaweza kutumia conversion unit ukapata m/s au km/hr au mph
Dinasours crawled, lingered, ruled and dominated the surface of the Earth for over 200million years and it took only one asteroid to end their reign and conclude their chapter in history books. Where was God then?hawa naamini ni waongo!! Mambo yanayoendelea huko juu yameshajiseti yenyewe,sir God anajua alivyoyaweka hakuna cha NASA wala Nasua! Waache urongo bwanaa!
Eti wanailinda dunia?! Wana uwezo wa kuilinda dunia hao wazushi? Unapata wapi uwezo wa kuilinda dunia? This is bullshit...a preposterous bullshit! Crazy nasa
Ungejielimisha kwanza,huko duniani wameshaanza kuprint nyumba na unahamia ndani ya masaa kadhaa tu,hakuna mambo ya kupandisha zege sijui kuezeka,sasa sijui utasemaje hapo.hawa naamini ni waongo!! Mambo yanayoendelea huko juu yameshajiseti yenyewe,sir God anajua alivyoyaweka hakuna cha NASA wala Nasua! Waache urongo bwanaa!
Eti wanailinda dunia?! Wana uwezo wa kuilinda dunia hao wazushi? Unapata wapi uwezo wa kuilinda dunia? This is bullshit...a preposterous bullshit! Crazy nasa
Wangeanza kuzuia majanga ya asili ktk sayari ya dunia, kama wangeweza ndio wangehamia huko.NASA(National Aeronautics and Space Administration) imefanikiwa katika jaribio la kungonganisha sattelite ya DART(Double Asteroid Redirection Test) ikiwa katika mwendokasi wa mita 14,000 kwa saa, na kimondo cha Didymos(Dimorphus) chenye ukubwa wa eneo la mita 160 , na kuweza kukiyumbisha na kibadilisha muelekeo kwa muda zaidi ya nusu saa, endapo kama kingekuwa kinaelekea kuangukia katika sayari ya Dunia.
Hii hatua kubwa katika ulinzi wa sayari ya dunia endapo kama kutakuwa na tishio la kimondo kinachoelekea kuangukia sayari yetu na kusababisha maafa.
Kwa maana hiyo, taarifa za kisayansi zilizokusanywa kutokana na mafanikio haya kitasaidia kutengeneza kombora lenye uwezo mkubwa wa kuweza kugongana na kimondo na kukitoa kwenye muelekeo wa kuangukia sayari ya dunia.....(NASA)
View attachment 2384214
View attachment 2384215
View attachment 2384216
View attachment 2384217
Sasa anayeviruhusu hivyo vimondo vianguke ni Nani?Mkuu acheni kuwafanya watu wajinga nyinyi,hvyo vimondo vinaanguka kila siku na Mungu mwenyewe alishaweka mifumo maalum ili hayo mawe yasidondokee dunia....Waambie hao jamaa zako hzo chai za mchana hatuzitaki,Yupo aliyeumba Mbingu na Dunia na yeye pekee ndiyo mlinzi wa hii Dunia.
Hizo nyumba unazosema ni pre fabricated mzee unaenda dukani au kiwandani kuweka order mbali na hapo unambie nyumba inakua printed kwa printer ya 3D na akaishi mwanadam yenye kutosha hata minimum eneo la 100m² huo ni uongo.Ungejielimisha kwanza,huko duniani wameshaanza kuprint nyumba na unahamia ndani ya masaa kadhaa tu,hakuna mambo ya kupandisha zege sijui kuezeka,sasa sijui utasemaje hapo.
Inawezekana ikawa kweli.
Ila najiuliza hayo matofali ambayo yapo huko juu siku Mungu akiamua kuyashusha wataweza kuyazuia?
Kama Hilo moja tu limewapa shida.
Angalia sayari zinaelea,jua linaelea,mwezi unaelea,nyota zinaelea .vipi siku hivi vitu vikigongana?
HAKIKA MUNGU YUPO
Kwahiyo mwanadamu amemshinda Mungu kwa kupitisha vifaa vya anga za mbali na rocket zikienda na kurudi duniani bila tatizo kwenye hilo tabaka ??Na wewe punguza kuwaskiliza sana wazungu bab utapotea....Hii Dunia ina mwenyewe na anajua kila kitu kinachoendelea,halali wa hasinzii...kila kitu kinakwenda kama alivyopanga.
Katika moja ya matabaka ya anga lipo tabaka Mungu kaliweka maalum kwa ajili ya kuikinga Dunia dhidi ya mawe design hyo yasiiangukie Dunia...ni mfumo tayar UPO na uliwekwa tangu Mungu anaumba hii Dunia
😆😆Nyie watu mjitahidi basi kuiacha sayansi kwenye njia yake nanyi muifate dini kwenye njia yenu HIYO MBINGU IKO WAPI SASA?😁Wanavyoongea utadhani wao ndo waliumba dunia na mbingu!
Bullshit
Mungu hana mchezo anasema MAlipo ya mja MUOVU ni hapa hapa dunian kabla hajaondoka.NASA(National Aeronautics and Space Administration) imefanikiwa katika jaribio la kungonganisha sattelite ya DART(Double Asteroid Redirection Test) ikiwa katika mwendokasi wa mita 14,000 kwa saa, na kimondo cha Didymos(Dimorphus) chenye ukubwa wa eneo la mita 160 , na kuweza kukiyumbisha na kibadilisha muelekeo kwa muda zaidi ya nusu saa, endapo kama kingekuwa kinaelekea kuangukia katika sayari ya Dunia.
Hii hatua kubwa katika ulinzi wa sayari ya dunia endapo kama kutakuwa na tishio la kimondo kinachoelekea kuangukia sayari yetu na kusababisha maafa.
Kwa maana hiyo, taarifa za kisayansi zilizokusanywa kutokana na mafanikio haya kitasaidia kutengeneza kombora lenye uwezo mkubwa wa kuweza kugongana na kimondo na kukitoa kwenye muelekeo wa kuangukia sayari ya dunia.....(NASA)
View attachment 2384214
View attachment 2384215
View attachment 2384216
View attachment 2384217
Tena nyumbani kwa Puttin!!Mh kwa nini wasingekielekezea Urusi??
Punguza makasiriko na Stress jombaaa, huko duniani watu wako very busy and serious doing great things. Kuna watu hawalali wanapasua vichwa kwenye issues nyingi za kisayansi..hawa naamini ni waongo!! Mambo yanayoendelea huko juu yameshajiseti yenyewe,sir God anajua alivyoyaweka hakuna cha NASA wala Nasua! Waache urongo bwanaa!
Eti wanailinda dunia?! Wana uwezo wa kuilinda dunia hao wazushi? Unapata wapi uwezo wa kuilinda dunia? This is bullshit...a preposterous bullshit! Crazy nasa
Exactly [emoji1666] [emoji1666] mtu anashinda kijiweni au Bar na smartphone ya mzungu halafu anaongea ujinga ujinga tuu. Wakifelishwa huko TSL wanakuwa wakali eti wameonewa.. [emoji23]Hata kipindi icho wanasanyansi wanasema mtu na mtu watawasiliana kwa sauti wakiwa mbalimbali kuna vilaza kama wewe walisema ni uongo
😁😁😁😁😁😁😁Hata kipindi icho wanasanyansi wanasema mtu na mtu watawasiliana kwa sauti wakiwa mbalimbali kuna vilaza kama wewe walisema ni uongo
Check out this...Uongo wa kwanza.
Mwendokasi hupimwa kwa namna hii
1. Kasi ya sauti
2. Kasi ya mwanga
3. Kph
Hicho kipimo kwa mita labda kisome per seconds.
Inabidi sasa NASA wajenge zimamoto anga za juu ili Mungu atakapoichoma dunia waweze kuuzima moto.
Wanadamu v/s Mungu