NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

Na wewe punguza kuwaskiliza sana wazungu bab utapotea....Hii Dunia ina mwenyewe na anajua kila kitu kinachoendelea,halali wa hasinzii...kila kitu kinakwenda kama alivyopanga.
Katika moja ya matabaka ya anga lipo tabaka Mungu kaliweka maalum kwa ajili ya kuikinga Dunia dhidi ya mawe design hyo yasiiangukie Dunia...ni mfumo tayar UPO na uliwekwa tangu Mungu anaumba hii Dunia
 
Dinasours crawled, lingered, ruled and dominated the surface of the Earth for over 200million years and it took only one asteroid to end their reign and conclude their chapter in history books. Where was God then?
We've been around for what? Only 200, 000 years?
I think its dumb to leave our fates to God.
 
Ungejielimisha kwanza,huko duniani wameshaanza kuprint nyumba na unahamia ndani ya masaa kadhaa tu,hakuna mambo ya kupandisha zege sijui kuezeka,sasa sijui utasemaje hapo.
 
Wangeanza kuzuia majanga ya asili ktk sayari ya dunia, kama wangeweza ndio wangehamia huko.
 
Sasa anayeviruhusu hivyo vimondo vianguke ni Nani?
Mungu ameiumba dunia na wakati huohuo anailinda duniaπŸ€”Sasa anailinda dhidi ya adui gani?..
Kwahiyo Mungu alishindwa kukizuia kile kimondo cha mbozi hadi kikaingia duniani?

Hakuna anayebisha kwamba dunia inaulinzi wake wa asili na dhidi ya vitu vitokavyo anga za mbali huko lakini haina maana kwamba sisi kama binadamu tukae tukibweteka

Embu jiulize hizi rocket na vifaa vingine vinavyoundwa na mwandamu vinavyoenda anga za mbali na kurudi duniani vikiwa salama ni kwamba mwanadamu anakuwa amemshinda Mungu hadi vinapita kwenye huo ulinzi wake????

Acheni sayansi isimame kama sayansi na imani zisimame kama imani mmekuwa wepesi sana kusifia imani zenu na kuponda sayansi mnasahau hivi vitabu tunavyosoma,spika na maika za kuhubilia zote ni faida za sayansi
 
Ungejielimisha kwanza,huko duniani wameshaanza kuprint nyumba na unahamia ndani ya masaa kadhaa tu,hakuna mambo ya kupandisha zege sijui kuezeka,sasa sijui utasemaje hapo.
Hizo nyumba unazosema ni pre fabricated mzee unaenda dukani au kiwandani kuweka order mbali na hapo unambie nyumba inakua printed kwa printer ya 3D na akaishi mwanadam yenye kutosha hata minimum eneo la 100mΒ² huo ni uongo.
 

Mungu gani tena
 
Kwahiyo mwanadamu amemshinda Mungu kwa kupitisha vifaa vya anga za mbali na rocket zikienda na kurudi duniani bila tatizo kwenye hilo tabaka ??
 
Wangepigisha kura kufanya hii kitu,wengine tunapenda dunia ipigwe tuanze moja
 
Mungu hana mchezo anasema MAlipo ya mja MUOVU ni hapa hapa dunian kabla hajaondoka.
Hao jamaa wanatuletea MAmbo ya Uongo na Mungu anaona anaweza akawaadhibu Hao Nasa mpk wakashika Adabu.
Anawapelekea Kimondo kwenye HQ yao hapo kinaangukia hapo hapo tuone sasa kama watakwepesha
 
Punguza makasiriko na Stress jombaaa, huko duniani watu wako very busy and serious doing great things. Kuna watu hawalali wanapasua vichwa kwenye issues nyingi za kisayansi..
 
Hata kipindi icho wanasanyansi wanasema mtu na mtu watawasiliana kwa sauti wakiwa mbalimbali kuna vilaza kama wewe walisema ni uongo
Exactly [emoji1666] [emoji1666] mtu anashinda kijiweni au Bar na smartphone ya mzungu halafu anaongea ujinga ujinga tuu. Wakifelishwa huko TSL wanakuwa wakali eti wameonewa.. [emoji23]
 
Check out this...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…