NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

We dogo uko na ki Itel chako hapo kwenye makochi ya shemeji yako umebinua tako juu baada ya kuvimbiwa kiporo cha viazi na maharage unajambajamba Tu na unajiona mwamba sio ?
 
[emoji116]
 
Here...
 
Ungejielimisha kwanza,huko duniani wameshaanza kuprint nyumba na unahamia ndani ya masaa kadhaa tu,hakuna mambo ya kupandisha zege sijui kuezeka,sasa sijui utasemaje hapo.
Achana naye mpumbav huyo na wajinga wenzake kuna technology kama AI , 3D printing , computer clouding hii ndio inaitwa 4th industrial revolution ,Hilo la nyumba kuwa printed ni kweli na ni real kabisa .
Watu hawalali wanasumbua akili zao kila sekunde kuja na innovation na scientific discoveries mpya kila siku .

Tunapoelekea huko wenzetu utakuta ni robot Tu na operator / technician mmoja ndio wapo site na wanajenga nyumba mpaka inaisha ,Hamna cha saidia fundi wala mbeba zege wala fundi uchwara .kazi mwanzo mwisho inafanywa na robot na labda mtu mmoja WA technical support Hivi vitu Kwa wenzetu vimeanza kabisa .
 
Napenda sana sayansi ila taarifa kama hii inanipa utata.

Kwani kabla ya NASA nani alikuwa anaokoa?.
 
Hawana akili hawa , yakiugua sijui huwa yanakaa Tu Chini na kumwomba Tu huyo Mungu wao , ? ,Ukisikia akili za ki pimbi ndio hizi
 
Hizo nyumba unazosema ni pre fabricated mzee unaenda dukani au kiwandani kuweka order mbali na hapo unambie nyumba inakua printed kwa printer ya 3D na akaishi mwanadam yenye kutosha hata minimum eneo la 100m² huo ni uongo.
Wewe ni mwehu , kama hujui vitu ni Bora uwe unakaa kimya .
Unajua hata 3D printing technology inavyotumika kujenga nyumba au unaropoka na kuandika pumba Tu hapa ?
Unajua Maana ya kitu kuwa pre fabricated wewe ?
3d printing inatumia robotic arm ambayo inazunguka katika angle tofauti tofauti Kwa kulay na kuspray concrete ( mchanganyiko WA mchanga ,cement na plaster ) inform of layers mpaka nyumba inakamilika ,si ajabu nyumba ya Boma kujengwa ndani ya masaa 24 ,ni kawaida kabisa .Hapo Hakuna cha tofali wala mbeba zege wala fundi wala mchanganya mchanga wala sijui nini .
Kazi iliyokuwa inafanywa na watu 30 Kwa wiki kadhaa inafanywa na mtu mmoja / wawili ndani ya masaa 24 .
Ninyi watoto hizo simu zenu huwa mnazitumia kuangalia porn na umbeya Instagram Tu , vichwa empty
Ficha upumbav wako
 
Akili kama yako halafu mimi ndio Mwigulu, kwanini nisikuongezee tozo mpaka upauke kama kipande cha muhogo...
 
Mbona wewe umewasikiliza na ukaamua kuvaa nguo, au kwenda hospitali na shule, na sasa unabonyeza bonyeza simu janja..
Ungewapinga tu na kuamua kuvaa magome ya miti, kujifukiza na kucheza ngoma masaa 24....
 
We dogo uko na ki Itel chako hapo kwenye makochi ya shemeji yako umebinua tako juu baada ya kuvimbiwa kiporo cha viazi na maharage unajambajamba Tu na unajiona mwamba sio ?
Jenga hoja! Majibu yako yanaonesha ni jinsi gani kichwani uko empty! Lugha yako ina reveal uhalisia wako,pole sana coz hunijui! Toa hoja acha matusi mazafanta
 
Kimbukiko
Aisee..
Shukrani sana kwa kuyantungua makombora yote ya kimbulula...
 
Napenda sana sayansi ila taarifa kama hii inanipa utata.

Kwani kabla ya NASA nani alikuwa anaokoa?.
Vimondo vimeanguka vingi, hata hapa Tanzania kuna mabaki ya kimondo maeneo ya Mbozi.
 
Nassa wanajitekenya wenyewe wanacheka wenyewe sasa yule bibiangu kule malinyi morogoro ataamini vipi hollywood yao hii mpya waliyotengeneza?

Ina maana Hawa wamarekani wanatupenda sana wana ulimwengu sisi kiasi cha kutuepushia tusiangukiwe na kimondo?

Mabwege hao wangeacha kituangukie ili tujue ni wakweli

Yani wanadhani Mungu analala usingizi hawa wehu, hii dunia yupo mwenye dunia yake haijatokea tu yenyewe kama kinyesi kwenye wo! wo! wo! zao
 
Hawa wasanii kweli. Dunia inauwezo mkubwa mno wa kujilinda yenyewe.
Hako kadubwasha hakawezi kulisukuma jiwe kubwa lenye kujiendesha lenyewe.
Hii ni kiki tu wanataka.
 
Hata kipindi icho wanasanyansi wanasema mtu na mtu watawasiliana kwa sauti wakiwa mbalimbali kuna vilaza kama wewe walisema ni uongo
Nyie ndo bendera fuata upepo.
Hivi kesho wakikuambia wanataka kuihamisha dunia au mwezi kutoka katika mzunguko wake utawaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…