NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

Acha fix mzee usifanye watu mazwazwa leta fact ya hiyo nyumba iliyokua printed achana na porojo za maneno mengi alafu kumbe ni pointless, hiyo technology ya 3D print ipo na ninaifaham na ninaitumia ila sio kwa hiyo unayoizungumzia ya kuprint nyumba we mpumbavu mkoswa maarifa.
 
View attachment 2386494

Hata babu yako wa miaka hiyo alikuwa mbishi kama wewe.

#YNWA
Takriban miaka 60 iliyopita mashirka makubwa ya kijasusi kama vile CIA wanaweza kuwa walikuwa tayari wameshaanza kutumia simu za mkononi. Kwa hiyo wakati gazeti hili linaandika taarifa hizi, simu za mkononi zilikuwepo isipokuwa tu zilikuwa bado hazijaanza kutumika na watu wengine wa kawaida kama ilivyo leo
 
Tunapambana na kimondo huku tunatishiana NUKES. Sisi ni viumbe wa kipekee sana. 🤔
 
Mara nyingine naona kama unanena ukweli. Normally kimondo kikiwa space huwa ni hot magma, sasa wao wanaeleza as if ni solid 😅 😆
 
Fact mwenye uwezo hii ni Mungu tu na slishatengeneza kila kitu anajua yaliyopita yajayo na ambayo hayakuwa kama yangelikuwa anajua yangekuwajee
 
Unatoa povu kama lijinga. Kule mbozi kuna kimoja kiliangukia huko.
 
Yani Wamarekani ni watu wa mapichapicha ingekuwa ni watu wanaoishi hapa bongo ningewalinganisha na watu wa uswaziiii
 
Nyie ndo bendera fuata upepo.
Hivi kesho wakikuambia wanataka kuihamisha dunia au mwezi kutoka katika mzunguko wake utawaamini?
Uzuri wa sayansi sio blah blah sayansi ni facts

So ikitokea mwanasayansi amesema kitu kama hicho tutamuhoji utuelezee ni kwa namna gani hilo jambo litawezekana atakuja na facts zake

SAYANSI NI KAMA MPIRA WA MIGUU IKO WAZI NI WEWE TU KUISOMA NA KUIELEWA HAINA MWENYEWE KAMA UNAVYOFIKIRI
 
Yani Wamarekani ni watu wa mapichapicha ingekuwa ni watu wanaoishi hapa bongo ningewalinganisha na watu wa uswaziiii
Wamarekani ni watu wa mapichapicha?

Swali

Kwanini China, Russia,india,Japan,na mataifa mengine yaliyoendelea kwenye sayansi ya anga hawapingi hizi chunguzi za NASA na kutuambia kwamba wamarekani Ni waongo??

kwanini wao pia tafiti zao zinafanana na za wamarekani na majibu ni yaleyale?
 
WANAANGA WA BUZA WATABISHA😅😅
 
Huyo Bibi yako huko malinyi unaweza ukampa taarifa kwa kumpigia simu kifaa ambacho kimetengenzwa na hao wanasayansi unaowadharau hapa
 
Hizo nyumba unazosema ni pre fabricated mzee unaenda dukani au kiwandani kuweka order mbali na hapo unambie nyumba inakua printed kwa printer ya 3D na akaishi mwanadam yenye kutosha hata minimum eneo la 100m² huo ni uongo.
Unaweka oda duka gani au kiwanda gani? na baada ya kuweka oda wao wanafanyaje sasa,wanakuja kuanza kufyatua tofali au vipi?
 
Mkuu,Watu hawataki kujielimisha wameamua tu wanapinga kila kitu,aione abdul0402
 
Waongo washenzi mabeberu hayo dadadeki zao walahi [emoji35]
 
Mkuu,Watu hawataki kujielimisha wameamua tu wanapinga kila kitu,aione abdul0402
Sio hawataki kujielimisha, hata serikali ilijaribu kuwaelimisha kwa elimu ya bure kuanzia msingi mpaka sekondari, kuna wale walikuwa bora liende mpaka linamaliza sekondari ya kulipiwa na wazazi wake halikutoka hata na definition ya Physics au Biology kichwani mwake, ndio matokea yake tunayaona tunapojumuishwa nao kwenye hii mitandao ya kijamii..
 
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…