Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ana kichaa huyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah...na akishajua umezima kwake utajuta..mm hapana aisee siwez na sitak! Bora nibak hivihivi...shida ya hao ben10 mafriji yao hayapoozi
Kuna mdada mmoja kafa kwa polisi mmoja jank tu age btn 28 hv..jaman yule polis anamuomba huyu dada hela kubwaa ..namuonea huruma anajitahid atoke ila anasema moto wake sio wa nchii hii..! Namuonea huruma..mwenzako anamuomba had 500k! Dada anakopa had kwa mumewe anampa...arghhhhh naudhika
Tena mke wa mtu anatafuta nini huko nje? Ngoja mumewe ajue ataachwa na mume na kiben10 ahangaike na mji