Nasaka mume

Nasaka mume

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah...na akishajua umezima kwake utajuta..mm hapana aisee siwez na sitak! Bora nibak hivihivi...shida ya hao ben10 mafriji yao hayapoozi
Kuna mdada mmoja kafa kwa polisi mmoja jank tu age btn 28 hv..jaman yule polis anamuomba huyu dada hela kubwaa ..namuonea huruma anajitahid atoke ila anasema moto wake sio wa nchii hii..! Namuonea huruma..mwenzako anamuomba had 500k! Dada anakopa had kwa mumewe anampa...arghhhhh naudhika
Ana kichaa huyo.

Tena mke wa mtu anatafuta nini huko nje? Ngoja mumewe ajue ataachwa na mume na kiben10 ahangaike na mji
 
Dada na tako hilo unahonga?? Acha ara moja bado unastahili kupewa
Mdogo wangu, mdogo wangu....mdogo wangu.
Yaani acha tu.
Nahisi kuna mchezo mchafu kanifanyia, japo sahv namkweppa.
Acha kabisa....nimekoma
 
Mashine kama hii ama
Screenshot_20210617-221349.jpg
 
Mdogo wangu, mdogo wangu....mdogo wangu.
Yaani acha tu.
Nahisi kuna mchezo mchafu kanifanyia, japo sahv namkweppa.
Acha kabisa....nimekoma
Kwanini unawaza kuwa kuna mchezo mchafu wkt umekubali shoo zake.kama unafuraha ukiwa nae endelea nae wala hakuna ubaya kupenda dada.
 
Back
Top Bottom