Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

Hivi hawa vijana hawana washauri? Yale mavazi kiukweli yanafafana mno na ya JWTZ.....Basi walau wangechakachua kidogo....sheria zetu haziruhusu na labda tupambane sheria hiyo iboreshwe lakini kwasasa kwavile ipo ni muhimu kuheshimiwa ......
 
the National Security Act provides that;

6.—(1) Any person who, for the purpose of gaining or assisting any other person to gain admission to a protected place or for any other purpose prejudicial to the safety or interests of the United Republic—

(a) without lawful authority uses or wears any uniform of the Defence Forces or of the Police Force or any other official uniform of the United Republic or any uniform so closely resembling the same as to be likely to deceive, or falsely represents himself to be a person who is or has been entitled to wear or use any such uniform; or

.............
......................
..............
shall be guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding twenty years......

KWA SHERIA HII HAKUNA KITU HAPO....
 
Jkt wala mgambo hawataki kwenda wanatamani nguo za jeshi.
 
Hivi show hainogi mpaka ukandamize migwanda ya jeshi mwanawane..? Wakati unajua kabisa wenyewe hawapendi na hawaruhusu..!
Nyani Ngabu kweli hakukosea "Miafrika ndivyo tulivyo" lol..
 
Last edited by a moderator:
Iko poa sanaiii. Wafungwa nao wana haki ya kucheza ngololo peleka uyo!
Akate viuno nauko aone faida ya ujinga.
 
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo

Anachafuliwa na nani sasa? Kama meneja wake alilala ndani kitu gani kinatufanya tukuamini unaposema kwamba alikuwa na kibali? Kama alikuwa na kibali inamaana angeonesha kibali tu na kuachiwa, au?
 
Hili swala la uniforms za majeshi kuna watu wanalichukulia kimzaha sana lakini lina umuhimu mkubwa sana kuwazuai askari tu ndo wavae nguo zao. Hivi karibuni tumeona mlipuko wa wimbi la majambazi. Tukiruhusu hizi uniforms zizagae kwa wananchi majambazi nayo yatatumia mwanya huo huo na hatajulikana nani askari na nani si askari.
 
Wawabane wanaoziingiza pia..maana znauzwa madukani,na kama bidhaa inauzwa dukani lazima inunuliwe.
 
Watamwachia tu wamemchukua kumhifadhi kwa ajili ya public interests ili msione hajachukuliwa hatua....hii ni Tanzania bhaaana hapigwi wala hata hafinywi
 
Uwongo mtupu , maabusu gani wanakesha wanapost picha instagram bala wako kwenye mazishi ya yp usiku na mchana
 
sheria ni msumeno lazima diamond apewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine
 
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo

Kama alipewa KIBALI haina shida btw inasemwa na wadau hapa alipewa KIBARI ! Kwa hicho itakuwepo shida .
 
Back
Top Bottom