Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I can see your point. Naona tunaendelea kuwa wajinga nchii hii.....BENDERA KUFUATA UPEPO.Bongo tambalale, CCM ni noma --- watu wamehamishwa toka Katiba mpya, sasa story ni Diamond na Sitti Mtemvu. Ghafla mtaambiwa mpige kura ya NDIYO katiba mpya!!
Kwa Tanzania hii sahau hilo maana huyu ni mpiga kura wetu na uchaguzi unakuja.
Huyu raia anayetamani combat halafu anaidhalilisha kwa kukata nayo mauno jukwaani dawa ni JKT mwaka mzima. Akitoka ataiheshimu combat.
vibaraka wa mondi kaziniKumbukizi