Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Itakuwa aliagizwa na UKAWA tu ili CCM wasishinde uchaguzi mkuu 2015 ili Lowassa alie
Hahahaaah,,,,,, acha hizo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa aliagizwa na UKAWA tu ili CCM wasishinde uchaguzi mkuu 2015 ili Lowassa alie
hakuvaa sare alivaa mavazi yanayofanana na sarehuyo dogo anadhan sar z jesh znavaliwa krahc!achukuliwe hatua coz nidhan hakuna kbsa....
we mutu iko rongo kabisa wewe narugumenye.
nchi hii mambo yanafanyika kwa mazoea tu ila ukifutilia hayakutakiwa yawe hivyokumbe sheria inaruhusu kuvaa ila usivae kwa kujaribu kufanya uharifu au kuficha identity yako, mbona yule mkuda alimpigisha mbizi yule dogo pale kariakoo bila kosa lolote, dogo alifungulie jeshi mashitaka hii sio sawa.
Khaa!! Hiri ritakuwa rimtu ra Tarime tu :A S wink:mkuu sentesi moja inakuwaje shida kuandika?
We dobi wa diamond nini?hizo sio sare ni mavazi yanayaofanana na sare
ndio....kwa hiyo hizo nguo nazijua sana ....sio kila vazi linalofanana na sare za polisi au jeshi ni sare za jeshi au polisi kama ingekuwa hivyo kila mwanajeshi na polisi angekuwa anaenda kushona mwenyewe kwa fundi au kununua tu dukaniWe dobi wa diamond nini?
Uchunguzi uende mbali zaidi kujibu maswali haya, je hayo mavazi aliyaazima? kama aliyaazima ni askari gani alimwazima? kama hayo mavazi aliyashona, je ni duka gani linauza vitambaa vya jeshi?? je ni halali kwa vitambaa hivyo kuuzwa?? kama alinunua dukani, ni duka gani linauza nguo za jeshi? je ni halali kwa duka kuuza nguo za jeshi?? hayo yakifanyika yatepusha mengi.
Huyu domo pimbi sana..kwa nini hakuvaa kanzu ? Mxxxx mitoto ya madrasa hovyo sana