Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Kwanza naunga mkono migomo na maandamano yawe ni yale yenye tija,na hili halitakiwi kubagua maeneo kama ni shuleni,vyuoni,makazini,vyombo vya usafiri n.k,kwa maana kufanya migomo si dhambi bali ni sehemu ya kuelezea kutokuridhika ama kuonewa,na mgomo waweza kuwa passive/active
UDOM msihuzunike sana maana hata UDSM tukiwa tunarudishwa nyumbani kwa kugoma tulituhumiwa eti tunatumiwa na wanasiasa(CDM), wakawa wanaacha kutusikiliza madai yetu ya maana badala yake wao ndo wakawa wanaingiza siasa na kupandikiza chuki kwa wazazi wetu eti sisi ni wavuta bangi,walevi,tunapenda starehe,wazushi n.k.walaaniwe Msolla na Maghembe na serikali yao.
Badala yake huo ndo ukubwa,mnatakiwa kuelewa ni kwa jinsi gani serikali isivyopenda kuruhusu mitizamo mbadala na jinsi CCM inavyotumika kuendeleza ONE PARTY POLITICS OVER MULTIPARTY POLITICS,msiogope na wala msichukie kuitwa wapinzani maana hata sie tuliitwa hivyo na leo bado tunauwasha moto nje ndani,tuko pamoja mpaka ki........