Nasema: CCM acheni mbinu chafu hapa UDOM

Nasema: CCM acheni mbinu chafu hapa UDOM

Kwanza naunga mkono migomo na maandamano yawe ni yale yenye tija,na hili halitakiwi kubagua maeneo kama ni shuleni,vyuoni,makazini,vyombo vya usafiri n.k,kwa maana kufanya migomo si dhambi bali ni sehemu ya kuelezea kutokuridhika ama kuonewa,na mgomo waweza kuwa passive/active

UDOM msihuzunike sana maana hata UDSM tukiwa tunarudishwa nyumbani kwa kugoma tulituhumiwa eti tunatumiwa na wanasiasa(CDM), wakawa wanaacha kutusikiliza madai yetu ya maana badala yake wao ndo wakawa wanaingiza siasa na kupandikiza chuki kwa wazazi wetu eti sisi ni wavuta bangi,walevi,tunapenda starehe,wazushi n.k.walaaniwe Msolla na Maghembe na serikali yao.

Badala yake huo ndo ukubwa,mnatakiwa kuelewa ni kwa jinsi gani serikali isivyopenda kuruhusu mitizamo mbadala na jinsi CCM inavyotumika kuendeleza ONE PARTY POLITICS OVER MULTIPARTY POLITICS,msiogope na wala msichukie kuitwa wapinzani maana hata sie tuliitwa hivyo na leo bado tunauwasha moto nje ndani,tuko pamoja mpaka ki........
 
Ushauri wako ni mzuri.Hawajagundua kuwa wenzao akina GL wanamaisha,na wao bado wanasafari ktk maisha.Watuulize Waathirika wa siasa na Mivyama yenye SERA ZA MSIMU tuwajuze ATHARI ZAKE.jaman mlio na mtakao salimika na timuatimua hiyo TULIZENI VICHWA MSOME,miongoni mwa wanaowashawishi wame disco kwa misup yao,wanatafuta sababu waonekane nao walikumbwa na opareshen TIMUA!

sishangai kuona jina lako ni NZURI PESA! but nywy' cjui umesoma chuo gani but trust me chuo ni kigumu mno bila harakati! tafakari.................
 
Historia inaonyesha viongozi waliokuwa madarakani walipitia katika vyuo ingawaje sio UDOM na walikuwa viongozi katika nyazifa mbalimbali vyuoni.Sasahivi chimbuko la siasa vyuoni limeongezeka kwa kasi kubwa kutokana na hali ilivyo katika inchi yetu sasa.Kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa hao wanafunzi kusimamishwa chuo kwa sababu ya kisiasa sababu hata hao wakuu wa vyuo ni wanasiasa ingawaje hawajionyeshi.Viongozi kuweni makini wakati wa kutoa maamuzi na sio kukomoana,kummbuka nawe utakomolewa siku yako ikifika!
 
Tatizo kubwa la UDOM ni uoga kwa watu na pia sio vizuri kuwafukuza wanafunzi wanahoji mambo yao na kuonyesha hisia zao kwa kuandamana ndio inaonyesha jinsi gani watawala walivyo waoga kukosolewa
 
Tatizo la UDOM bado halijatatuliwa. Liko kwa viongozi wawili Mkuu wa chuo na Msaidizi wake wa utawala na fedha. Watu hawa kila kona wanasikika kutoweza uongozi wa taasisi kubwa kama hiyo. Bahati mbaya kabisa Utawala wa nchi umewaacha waendelee na ufisadi na utawala mbovu.

Nguzo kubwa ya madaraka yao nasikia, nasema tena nasikia ni msimamo wao wa kidini. Ni aibu lakini kumbe ndo maana nchi inakwenda kwa currents. Hata urafiki wa kanisani au msikitini unamfanya mtu awe kiongozi.
 
Mambo ya UDOM naona sasa yaanza kuwekwa hadharani fungu kwa fungu na wanafunzi wenyewe. Nadhani kuna mtu mahali anayasikiliza uzuri na kutegemea kuyafuatili kwa karibu na haraka sana kabla ya kuponyoka mikononi.
 
Back
Top Bottom