Nasema hivi, Mume anauma!

Nakupa ushauri tu we na mumeo nani ana hela ? Je anaihudumia familia ipasavyo ? Kama mumeo anasimamia majukumuyakwe kama mume we tulia ndani ya nyumba. Ziba masikio kama chura kiziwi. Komaa na maisha yako jiongezee thamani kama una biashara kazana nayo. Kama umeajiriwa hakikisha unapiga training yeyote itakayokuja upande wako. Na kama ukipata nafasi ya kuongeza shule ongeza ,mama yangu katika soko la ajira mwanamke na mwanaume wenye masters wana nafasi mbili tofauti.

Kama mumeo hana hela na wewe unasimamia majukumu ya mume achana nae haraka sana anakuchelewesha. Ukishachana nae kazana upambane kujiongezea thamani. Mwanamke unachagua mwanaume kwa kuchagua unayempa kibuyu cha asali. Ukiachana na mumeo hakikisha haugawi ovyo utamu tulia, kaa miezi sita usimpe mtu . Ukitulia vizuri kitumbua kitajitengeneza vizuri dada yangu. Siku ukija kumpa mtu kama mimi kinakuwa kitamu balaa na nakuweka ndani ukiangalia utakuwa umejiongezea thamani. Tatizo hamuwashirikishi mama zenu au wazee wenu. Mashangazi ni watamu kwa sababu hawaipigishi hovyo kama vitoto vya 2000. Nimmesisitiza maana wanawake mkiachana na mtu ni kama fungulia mbwa mnagawa kama Baa medi wa kwa macheni.
 
Sijawahi kutembea na mume wa mtu deliberately. Nikiwa chuo nilikuwa na mahusiano na mtu nikaja kujua ni mume wa mtu. Niliachana nae ndani ya hiyo wiki licha ya kuomba sana.

Yani mtu wa mipaka ya kumpigia simu, kumtafuta, kuwa naye public mi simtaki.
 
Wife material
 
Sijawahi kutembea na mume wa mtu deliberately. Nikiwa chuo nilikuwa na mahusiano na mtu nikaja kujua ni mume wa mtu. Niliachana nae ndani ya hiyo wiki licha ya kuomba sana.

Yani mtu wa mipaka ya kumpigia simu, kumtafuta, kuwa naye public mi simtaki.
MIe siwezi.sema ila huyo mwanadada amefanya makusudi kuwa namumeo kwa.unavyooelezea historia yako hapo hujafunguka ila ukimtaka mumeo acha mazoea na mwanaume unayedhani ni.rafiki yako.mumeo atarudi huyo rafiki wakiume.ambaye is your best friend ndio huyo dada ni mtu wake ila hamjui kama amewajua kama huna huyo male friend basi unamwanaume.ambaye hajaoa mmezoeana naye achana naye huyo.ndio kitu yake.nayeye kaamua kukuloza uone.mume mchungu kama unavyoona saivi.sasa umelewa aliend akama kulipiza kisasi akanogewa kachukua jimbo
 
Kuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
I feel your pain....ongea Na mumeo usikae Na io sumu wewe ndo utaendelea kuteseka huku wenzako wanaendelea kufurahia uzinzi wao
 
Kwamba katika miaka 10 tuliyokuwa pamoja tangu huyu binti ana miaka 10 furaha alikuwa anapata wapi?

Wanaume acheni ubinafsi jamani
[/QUOT
Yan naumia utafkiri nimechitiwa Mimi nawaza siku mume Wangu akinicheat nahisi nitakata moto
 
Mumeo akigundua mnawasiliana ma ex hatokusamehe Na Uyo ex anaweza kuharibu ndoa yako
 
Usipoangalia soon utavunja ndoa Na Uyo ex talaka itakuhusu
Lakini mi huyu ex sio kwamba nawasiliana naye kila siku. Hapana. Wala hatuko karibu.

Tangu tumeachana, kukaa naye ndo hii mara ya kwanza. Other times namuonaga tu hapa na pale na occassionally ataniambia happy birthday au ataniuliza kitu…lakini labda mara 1 kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…