Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Nakupa ushauri tu we na mumeo nani ana hela ? Je anaihudumia familia ipasavyo ? Kama mumeo anasimamia majukumuyakwe kama mume we tulia ndani ya nyumba. Ziba masikio kama chura kiziwi. Komaa na maisha yako jiongezee thamani kama una biashara kazana nayo. Kama umeajiriwa hakikisha unapiga training yeyote itakayokuja upande wako. Na kama ukipata nafasi ya kuongeza shule ongeza ,mama yangu katika soko la ajira mwanamke na mwanaume wenye masters wana nafasi mbili tofauti.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Kama mumeo hana hela na wewe unasimamia majukumu ya mume achana nae haraka sana anakuchelewesha. Ukishachana nae kazana upambane kujiongezea thamani. Mwanamke unachagua mwanaume kwa kuchagua unayempa kibuyu cha asali. Ukiachana na mumeo hakikisha haugawi ovyo utamu tulia, kaa miezi sita usimpe mtu . Ukitulia vizuri kitumbua kitajitengeneza vizuri dada yangu. Siku ukija kumpa mtu kama mimi kinakuwa kitamu balaa na nakuweka ndani ukiangalia utakuwa umejiongezea thamani. Tatizo hamuwashirikishi mama zenu au wazee wenu. Mashangazi ni watamu kwa sababu hawaipigishi hovyo kama vitoto vya 2000. Nimmesisitiza maana wanawake mkiachana na mtu ni kama fungulia mbwa mnagawa kama Baa medi wa kwa macheni.