Nasema hivi, Mume anauma!

Hakuna mwanaume niliye karibu naye. Hakuna! Nina group yangu ya friends wa kike close-knit. Sijawahi hata kukaa na mwanaume be it wa ofisini au nje ya ofisini kihasara. And nampenda mume wangu, siwezi fanya kitu cha kumuumiza.

Hata hapa huwezi amini natamani aumie kama mimi ila namhurumia pia.
 
Ushaur Wangu Kaa mbali Na Uyo ex IV unafkiri siku akienda kumwambia mumeo kuwa ulimtuma akamatongoze Uyo binti mumeo atakuekewa????? Unafkir mumeo hatahisi mna kitu kinaendelea Na Uyo ex...hii kesi ikienda Kwa wazazi wewe utaonekana mkosefu mwanamke kosa la mumeo kucheat halitakuwa Na uzito Ila wewe kosa lako kuwasiliana Na ex ishu YA ndani hivo utaonekana mkosefu
 
Zilipendwa acha kutupigia mikelele!
 
Mwanamke pekee mwenye haki ya kulalamika mume wake anapomcheat ni yule aliyekutwa bikra

Wengine mlioukutwa K imeshaenda mileages za kutosha nini kinawashangaza mmeshawavulia chupi wanaume wangapi? Vumilieni tu mtazoea

Learn or perish
 
Sawa
 
Wakina Jadda et al watakuja hapa wabishe na kusema ya kua mwanamke ana haki ya kua Malaya
 
Una pesa nyingi za kuchezea?!
Nilijua utapiga comeback na ex wako, kumbe unampa pesa akaharibu husiano??
Sasa akienda kutafuta mwingine naye utampa pesa?
Mimi aende mchezo na pesa sifanyi..! 😹😹😹
 
Mimi wa kwangu hawezi kucheat na hata akicheat siwezi kuumia kwa sababu najua mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja never ever.bora w kwako ana kitoto cha 2000 yaani hapo hakuna future anachakaza Tu hyo k.muombe Tu Mungu aendeshe salama asilete maradhi..
Ila muache afaidi mwanaume anaepata sex vizuri anaishi maisha marefu na afya tele
 
Uduguu umetoa ushauri mzuri sana, ushakuwa mkomavu na wana wa Israel 😂😂
 
Ila hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana

Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?

Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌

Bora tumezeeka sasa 🤗
Oyaaa babu 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…