Nasema hivi, Mume anauma!

Imekuumiza, pole.

Lakini kwa uandishi wako na mpangilio wa maneno vizuri sana, umenifurahisha badala ya kusikitika.

Nimeshindwa kuchanganya furaha na majonzi, nimejikuta nafurahi tu nimesahau hata maumivu uliyonayo mtoa mada!

Hivi huyo Mr wako shakubimbi anaelewa kidhati namna unavyompenda kwa kiwango hicho?

Hongera kwa kuwa na penzi la dhati moyoni mwako, maana siku hizi mapenzi huthamanishwa na vitu, yale ya dhati kabisa wamebaki nayo wachache sana, mmoja wao ni wewe, unastahili tuzo.
 
Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.

Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
Hiyo itakutesa sana, dawa mpk ulipize trust me honey 🤣🤣🤣
 
Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.

Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
Hapo umewaza vyema fanya hivyo.
 
Hongera kwa hiyari na kugharimia kuwezesha kuongeza mke maana sasa jamaa atakuwa anakula kwako na kula kwa uliyemtuma na akiona cha mwenzako ni bora zaidi atakushukuru sana kwa juhudi yako kumpatia kifaa kipya chenye uwezo zaidi kunako kule mbugani!! Hili ulilofanya ungefanya tu kwa mumeo na kumwambia aweke wazi ili kuondoa kificho na kuepuka maradhi!! Kwasasa Idadi yako katika mzunguko ni 4! (4x3x2x1=24) ambapo uwezo wa kupata maradhi ni mkubwa zaidi! Kwa maana kila mmoja ana mtu anayemwamini na hivyo mpo nane (4x2) na Kisha kila mmoja ana pembeni anayeweza kushare naye vitu vya hatari kama ulivyosema umemtuma katika kazi hiyo (4x2) maana unayemwani naye ana wa mtu kushare vitu vya kazi ulivyofanya wewe na mwisho wote nane mtu mdau wa kawaida na hivyo kuwa 8 na kuleta 24
 
Mbona hamuwaoi sasa na wamefika umri. Kata mti panda mti sio unataka kumiliki msitu mzima
Usinifokeee😂😂😂

We update mbinu za kumhandle mume wako unapigwaje gap na mtoto ambae unaweza mzaa huku unapiga umbea
 
Pole, unapomnyima unampa uhalali wa kula nje.

Akimuachanisha navwa afu 2 atakula mwingine ....simba lazima ale mawindo
 
Sure yani mume anauma...hasa pale unapojua kuwa mpo watatu..m hayajanikuta ndoa changa ila...naomba nsijue na Huwa namwambia kabisa fanya mambo Yako ila jitahidi sana usinionyeshee nkijua tu mi chaliii🥺
Kwahiyo kama kutafuna nje atafune ila usije ukagundua!??😁😁😁😁
Aisee we mke mzuri sana mashallwah.
 
Uduguu umetoa ushauri mzuri sana, ushakuwa mkomavu na wana wa Israel [emoji23][emoji23]
Uduguuu, acha kabisaa, kunae mwanaa wa Israel akanifundishaa "cocaa hapa ni Bongo, sio Ulayaa, kaa kimastaaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi Kina Ba tamu wanasema, "hivi Una hisia kwelii au unaigizaaa?

Na mie nasema, itajulikana mbelee kwa mbeleee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utateseka sana,wanawake tambueni wanaume ni polygamys,utamuachisha kwa huyo binti atatafuta mwingine tena and the circle continues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…