Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Imekuumiza, pole.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Lakini kwa uandishi wako na mpangilio wa maneno vizuri sana, umenifurahisha badala ya kusikitika.
Nimeshindwa kuchanganya furaha na majonzi, nimejikuta nafurahi tu nimesahau hata maumivu uliyonayo mtoa mada!
Hivi huyo Mr wako shakubimbi anaelewa kidhati namna unavyompenda kwa kiwango hicho?
Hongera kwa kuwa na penzi la dhati moyoni mwako, maana siku hizi mapenzi huthamanishwa na vitu, yale ya dhati kabisa wamebaki nayo wachache sana, mmoja wao ni wewe, unastahili tuzo.