Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Asuhbiri kupata Mpox maana zimejaa tele.....tushukuru Muzungu amemwaga Njegele kila mahali mtasaidiana kunywa na kupima CD4Mimi wa kwangu hawezi kucheat na hata akicheat siwezi kuumia kwa sababu najua mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja never ever.bora w kwako ana kitoto cha 2000 yaani hapo hakuna future anachakaza Tu hyo k.muombe Tu Mungu aendeshe salama asilete maradhi..
Ila muache afaidi mwanaume anaepata sex vizuri anaishi maisha marefu na afya tele
Kwa hiyo unataka kuloga au....Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Mnapenda kuhalaliaha mambo machafu.....Wafrika hamna zaidi ya ngonoUtateseka sana,wanawake tambueni wanaume ni polygamys,utamuachisha kwa huyo binti atatafuta mwingine tena and the circle continues.
Haelewi hata kidogo. Anadhani penzi langu ni jepesi sana la kubebwa mgongoni.Imekuumiza, pole.
Lakini kwa uandishi wako na mpangilio wa maneno vizuri sana, umenifurahisha badala ya kusikitika.
Nimeshindwa kuchanganya furaha na majonzi, nimejikuta nafurahi tu nimesahau hata maumivu uliyonayo mtoa mada!
Hivi huyo Mr wako shakubimbi anaelewa kidhati namna unavyompenda kwa kiwango hicho?
Hongera kwa kuwa na penzi la dhati moyoni mwako, maana siku hizi mapenzi huthamanishwa na vitu, yale ya dhati kabisa wamebaki nayo wachache sana, mmoja wao ni wewe, unastahili tuzo.
Kwahiyo unadhani akihalalisha ndo sitoumia. Hivi mnadhani wanawake wa kwenye ukewenza wana furaha?? Basi tu mtu unazima switch zote za mapenzi unaamua kuishi siku ziende.Hongera kwa hiyari na kugharimia kuwezesha kuongeza mke maana sasa jamaa atakuwa anakula kwako na kula kwa uliyemtuma na akiona cha mwenzako ni bora zaidi atakushukuru sana kwa juhudi yako kumpatia kifaa kipya chenye uwezo zaidi kunako kule mbugani!! Hili ulilofanya ungefanya tu kwa mumeo na kumwambia aweke wazi ili kuondoa kificho na kuepuka maradhi!! Kwasasa Idadi yako katika mzunguko ni 4! (4x3x2x1=24) ambapo uwezo wa kupata maradhi ni mkubwa zaidi! Kwa maana kila mmoja ana mtu anayemwamini na hivyo mpo nane (4x2) na Kisha kila mmoja ana pembeni anayeweza kushare naye vitu vya hatari kama ulivyosema umemtuma katika kazi hiyo (4x2) maana unayemwani naye ana wa mtu kushare vitu vya kazi ulivyofanya wewe na mwisho wote nane mtu mdau wa kawaida na hivyo kuwa 8 na kuleta 24
Sio masihara mme wa mtu ni mtamu.....☺️Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Unaibiwa mwanamme kwani mzigo huo?Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Acha basi Zuu, kinachokuuma ni nini sasa?? Hela zake au viuno vyake.....Evelyn, mwenzio hadi nimechukua likizo kazini. Moja haikai wala mbili haisimami
Najifanya mgumu ila daah…mtoto mdogo ananiliza. We huogopi?
😂😂😂😂😂 Km alivyo mumeo mtamu Kwa wenzio madam ,yaan n tafraniiSio masihara mme wa mtu ni mtamu.....☺️
Mmeo yuko wapi zurie.
Yeah wangu pia atakua mtamu balaa huko kwa watu, na wa wengine pia ni watamu mnoooo kwa kifupi.....ni utamuuu evere whea😂😂😂😂😂 Km alivyo mumeo mtamu Kwa wenzio madam ,yaan n tafranii
Hao watoto wa 2000 sio wa kuwachukulia poa babu.Ila hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana
Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?
Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌
Bora tumezeeka sasa 🤗
Sijafurahi, suala si mimi kufurahi.Sawa sijaibiwa. Umefurahi?
😂😂😂😂 Endeleaa kumnoa vzr huyo wako uko ndan Ili akienda njee apate point tatu muhmu zaidii Kwa vitoto 2000 Kwa kuwafikisha .....Yeah wangu pia atakua mtamu balaa huko kwa watu, na wa wengine pia ni watamu mnoooo kwa kifupi.....ni utamuuu evere whea
Umesema "binti sio mtaalamu wa kula waume za watu"Huyo mwenzio ukute kila mume wako akitaka papa anampa wewe unamnyimaHakuna niliposema hajui mapenzi tafadhali.