Nasema hivi, Mume anauma!

Mwambie anipe Chini aache kusingizia period isiyoisha kikomo period gani inaenda mpaka Mwezi?
 
Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni ngumu Sana
msichukulie poa nyie wanawake hatuwezi kuwa sana Kwenye matamanio ya kingono
japo Kuna wanaume wachache wanaweza kuwa na mwanamke mmoja.

NB:
ukiwa na mwanamke mmoja atakufanyia vitu ambavyo vitakufanya uongeze wanawake wengine.
 
Njoo nikutoe stress.............nipo kwa ajiri yako kipenzi..............kwa nia njema tu lakini
 
Wacha kujidanganya tafuta suluhu ya tatizo na sio kuongeza matatizo..hata ukitiwa nje ila bado utakuwa stress tuu
 
Vp unataka kumuoa mkuu akiachika au na yeye akawe mchepuko wa waume za watu unapo mshauri mtu jambo mpe na njia ya kupita
 
Zuu nawe,
Mi nilijua unaka unitafute nasi tum-cheat, sasa hapo wewe utafaidika nini?
Anyway, kupanga nikuchagua.
 
Hakuna u best wa mwanamke na mwanaume mi kama mumeo nkijua nakupa taraka 3 tena best mwenyew ex wako kuna matatizo mnayatafuta wenyew badae mna kuja kutulilia huku
 
Kwanz nkupe honger coz umefany bonge la wonders na kutumia mind Ako vzr ingekuw wengne hpo Tyr mpak mda huu connection hko Tik Tok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…