Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Njoo pm nikupe mbinu nilizobuniNimecheka sana🤣🤣🤣🤣. Ee Mungu baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm nikupe mbinu nilizobuniNimecheka sana🤣🤣🤣🤣. Ee Mungu baba
Kazi sana kaka kama Watanganyikw wenyewe ndio hawa.Itakuwa ngumu sana kurudisha Tanganyika Yetu
Inabidi uingie tena mfukoni uwahamishe nchi 😄Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣. Ee Mungu baba
Ooooh kumekuchaaaaa!!!Anajua kuwa ni mume wa mtu. Anajua vizuri tu.
Ila kwa mawasiliano yao, sio mwanamke aliye na nia ya kuvunja ndoa au ambaye yuko na mume wa mtu kikazi zaidi. Yuko tu kutaka faraja na mapenzi kama mahusiano mengine yalivyo.
Kwanini nitafeli cocastic?? [emoji24]
Hahaha hongera zakoNimependa mwenzio. Najua sio kazi yetu wanawake kupenda ila ndo kiherehere na nishapenda
Ukichepuka akijua ni sawa na kuzima moto kwa petrol, hawezi kukusamehe hata akikusamehe kutakuwa hakuna upendo ule wa ndani kitachobaki ni upendo wa kinafiki tu yaani bora liende, vumilia vumilia Dada yangu kwenye nyakati kama hizo ndo muda wa kutuliza akili kimbia ukaribu wowote na mwanaume maana utaingia shimoni, hakuna magumu yasiyo na mwisho ili litapita japo linauma, narudia ukichepuka kwa kujifanya unalipa kisasi akijua ujue wewe mwenyewe umevunja ndoa yako sasa yote hayo ya nini vumilia vumilia mwanaume huwa anapenda mara moja na wewe ndo upendo wake ila sahau kupendwa akijua umechepuka.Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Hasa kama una mnyima si bora tu umuache aendelee na kupooza hako katoto ambapo kwako unaona sio threat.To hell. Bora tukose wote.
Anakuja huku anajifanyishafanyisha kunitamani wakati ashakula huko na kushiba.
Nilidhani sisi Wazee ndiyo tulikuwa na vishawishi vingi miaka yetu, ila nimegundua ninyi ndiyo mna vishawishi vingi kutuzidi.Kwa kweli Mungu aingilie kati tu
Vp kama binti ndio anafanya jamaa ako awe na furaha mpaka anakutimizia mambo yako?Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Namuomba tu asije akatuma wanajeshi kama yule kachero wa dodoma, atanyea debe.Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?
Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?
Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.
Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.
Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.
Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.
Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
Hili ndilo kosa namba moja la Wanawake.Hawezi kuwa na balaa zaidi yangu bwana. Hilo nalijua; basi tu wanaume ni fisi. Aaarghhh
Unajua ulichokifanya sio solution,Ila mi sichepuki Mkuu. Wallahi Wabillahi
Hii masters ya haya mambo uliisomea chuo gani hapa duniani?Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?
Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?
Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.
Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.
Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.
Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.
Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
Yani niko sehemu in public hadi machozi yameanza kunitoka. Asante, nitasoma tena kwa makini nielewe zaidi.Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?
Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?
Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.
Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.
Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.
Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.
Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
Tatizo la sisi wanaume hua tunafurahishwa na mambo madogo sana hasa kutoka kwa mwanamke kitu ambacho hua kinatutoa kwenye reli, Usishangae jamaa amependa kichogo tuu kwa huyo bintiKwamba katika miaka 10 tuliyokuwa pamoja tangu huyu binti ana miaka 10 furaha alikuwa anapata wapi?
Wanaume acheni ubinafsi jamani