Nasema hivi, Mume anauma!

Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?

Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?

Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.

Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.

Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.

Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.

Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
 
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.

Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Ukichepuka akijua ni sawa na kuzima moto kwa petrol, hawezi kukusamehe hata akikusamehe kutakuwa hakuna upendo ule wa ndani kitachobaki ni upendo wa kinafiki tu yaani bora liende, vumilia vumilia Dada yangu kwenye nyakati kama hizo ndo muda wa kutuliza akili kimbia ukaribu wowote na mwanaume maana utaingia shimoni, hakuna magumu yasiyo na mwisho ili litapita japo linauma, narudia ukichepuka kwa kujifanya unalipa kisasi akijua ujue wewe mwenyewe umevunja ndoa yako sasa yote hayo ya nini vumilia vumilia mwanaume huwa anapenda mara moja na wewe ndo upendo wake ila sahau kupendwa akijua umechepuka.
 
Kwa kweli Mungu aingilie kati tu
Nilidhani sisi Wazee ndiyo tulikuwa na vishawishi vingi miaka yetu, ila nimegundua ninyi ndiyo mna vishawishi vingi kutuzidi.

Maana ninyi njia za mawasiliano pamoja na usasa umekuwa mwingi hivyo kufanya engagement kuwa rahisi miaka hii.

Usipokuwa makini unaweza kugonga hata miaka 45 ukiwa hujanunua hata uwanja wa 30x30 🙌
 
Vp kama binti ndio anafanya jamaa ako awe na furaha mpaka anakutimizia mambo yako?
 
Namuomba tu asije akatuma wanajeshi kama yule kachero wa dodoma, atanyea debe.
 
Ila mi sichepuki Mkuu. Wallahi Wabillahi
Unajua ulichokifanya sio solution,
Ulitakiwa u deal na huyo Mumeo,
Utaweza kuwamaliza wanawake wote wanaotoka na mumeo?
Kusanya ushahidi usio na shaka kisha weka kikao cha familia za pande zote mbili,

Mumeo asipobadilika unayo haki ya kuomba talaka,usisubiri mpaka aje akuletee maradhi.
 
Hii masters ya haya mambo uliisomea chuo gani hapa duniani?
 
Yani niko sehemu in public hadi machozi yameanza kunitoka. Asante, nitasoma tena kwa makini nielewe zaidi.
 
Kwamba katika miaka 10 tuliyokuwa pamoja tangu huyu binti ana miaka 10 furaha alikuwa anapata wapi?

Wanaume acheni ubinafsi jamani
Tatizo la sisi wanaume hua tunafurahishwa na mambo madogo sana hasa kutoka kwa mwanamke kitu ambacho hua kinatutoa kwenye reli, Usishangae jamaa amependa kichogo tuu kwa huyo binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…