cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Harvard, [emoji23][emoji23][emoji23]Hii masters ya haya mambo uliisomea chuo gani hapa duniani?
Ila nimechekaa jamanii, mie napenda kusemaa ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harvard, [emoji23][emoji23][emoji23]Hii masters ya haya mambo uliisomea chuo gani hapa duniani?
Chuma kikiwa cha moto ndio muda mzuri wa kukiponda,Lets see how it goes.
Wapige threesome tamu kabisakaa na mumeo au wote watatu mzungumze
Namba yangu c nlkutumia kule kwenye emailHahahaaaha..... kiwe chekundu kama nyanya mbivu.
Njoo inbox mme wangu
Poleeee sana dada,Yani niko sehemu in public hadi machozi yameanza kunitoka. Asante, nitasoma tena kwa makini nielewe zaidi.
Kwahy suala la X kukuzagamua lipo juu yake mwnyw au siyoSijakulana nae but if i do…if I do…ni yeye atakuwa amenipush huko. Every action has an equal and opposite reaction
Hii tamu....Sijakulana nae but if i do…if I do…ni yeye atakuwa amenipush huko. Every action has an equal and opposite reaction
😂😂😂😂😂HIZI NDIZO MADA ZENYE WASHAURI WENGI JAMIIFORUMS.
Hapa kila mtu atatiririka kwa mbwembwe na kujifanya mjuzi wa mahaba au kungwi wa kutOMBAH.
Hebu bwana, mtupishe huko.
Mashangazi tumekaa kimya tunawapiga jicho tu.
Cc: Lamomy Dejane Depal cocastic Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker Mzee wa kupambania Yohimbe bark Poor Brain adriz mimiamadiwenani
Ashakunywa sana Mkuu hadi sometimes naona haina maana tena. Yani kama hadi tulienda vacation na huyu mtu alikuwepo around yaani mi napewa card naenda shopping, huyu anaenda kuliwa.Chuma kikiwa cha moto ndio muda mzuri wa kukiponda,
Ukisubiri kipoe,kitakua kigumu sana kupondeka kirahisi,
Endelea tu kusubiri huku Mumeo akiendelea kunywa Juice ya Tunda.
Ahsanteee sanaaa!!, barikiwa pia.Bonge la ushauri!!! Nimekupenda bure
Ilaa wizooo una ninii wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HIZI NDIZO MADA ZENYE WASHAURI WENGI JAMIIFORUMS.
Hapa kila mtu atatiririka kwa mbwembwe na kujifanya mjuzi wa mahaba au kungwi wa kutOMBAH.
Hebu bwana, mtupishe huko.
Mashangazi tumekaa kimya tunawapiga jicho tu.
Cc: Lamomy Dejane Depal cocastic Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker Mzee wa kupambania Yohimbe bark Poor Brain adriz mimiamadiwenani
Umeona bila kusahau VITUNGUU wanajua kuvitumia Yan unakakamaa ukikojoa😁😁watoto wa 2000 tuwape mafrawaa yaoIla hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana
Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?
Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌
Bora tumezeeka sasa 🤗
Sijamtuma kwa ubaya. Nataka amshawishi awe nae, a-divert attention yake.Pole sana
ila njia uliyotumia sio nzuri. kuna njia za kusolve thing ambazo ni nzuri
imagine sasa ulivomtuma huyo ex vip akamfanyia ubaya? na hapa JF umeandika kabisa umemtuma na umempa hela ex wako amuendeee Police wanapita humu kila siku
nashauri hio part ya kumtuma ex wako ifute kwa thread 🙌🏾
Ndo umejua leoHawezi kuwa na balaa zaidi yangu bwana. Hilo nalijua; basi tu wanaume ni fisi. Aaarghhh
Wanakimbia au siyo 😂Wape Mada sasa ya Katiba Mpya😆😆😆
Daaa! Pole MyNimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!