Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Chuma kikiwa cha moto ndio muda mzuri wa kukiponda,
Ukisubiri kipoe,kitakua kigumu sana kupondeka kirahisi,

Endelea tu kusubiri huku Mumeo akiendelea kunywa Juice ya Tunda.
Ashakunywa sana Mkuu hadi sometimes naona haina maana tena. Yani kama hadi tulienda vacation na huyu mtu alikuwepo around yaani mi napewa card naenda shopping, huyu anaenda kuliwa.

Aah acheni nilie jamani. Naumia😭
 
Pole sana
ila njia uliyotumia sio nzuri. kuna njia za kusolve thing ambazo ni nzuri

imagine sasa ulivomtuma huyo ex vip akamfanyia ubaya? na hapa JF umeandika kabisa umemtuma na umempa hela ex wako amuendeee Police wanapita humu kila siku

nashauri hio part ya kumtuma ex wako ifute kwa thread 🙌🏾
 
Ila hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana

Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?

Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌

Bora tumezeeka sasa 🤗
Umeona bila kusahau VITUNGUU wanajua kuvitumia Yan unakakamaa ukikojoa😁😁watoto wa 2000 tuwape mafrawaa yao
 
Pole sana
ila njia uliyotumia sio nzuri. kuna njia za kusolve thing ambazo ni nzuri

imagine sasa ulivomtuma huyo ex vip akamfanyia ubaya? na hapa JF umeandika kabisa umemtuma na umempa hela ex wako amuendeee Police wanapita humu kila siku

nashauri hio part ya kumtuma ex wako ifute kwa thread 🙌🏾
Sijamtuma kwa ubaya. Nataka amshawishi awe nae, a-divert attention yake.
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Daaa! Pole My
 
Back
Top Bottom