Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kosa unalofanya hapo ni kumnyima papa. Unampa points Gen Z kuendelea kutawala ulingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hivyo Zurie ☺️Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.
Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
🤣 🤣 unamtaka tena na wewe?Sio masihara mme wa mtu ni mtamu.....☺️
Mmeo yuko wapi zurie.
Ukichaaa tu mnapigwa pipe na mtu 1 kingeseNimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Wakati anarudi nyumbani kulala na ana hudumia familiaUnaibiwa mwanamme kwani mzigo huo?
Mwanamme wako kaamua kuruka na mtoto wa 2000 unasema umeibiwa?
Hela hata mi ninazo Eve, kiuno ni chake. Issue ni mahaba. Ujue uhusiano ili uendelee kuna ile maintenance ya huba na mashamsham. Na si kiranga changu nimeyashuhudia mwenyewe kwenye simu😭Acha basi Zuu, kinachokuuma ni nini sasa?? Hela zake au viuno vyake.....
Hebu acha kulilia single dudu bana, kwani si unaniliuuuu 😹😹😹Hela hata mi ninazo Eve, kiuno ni chake. Issue ni mahaba. Ujue uhusiano ili uendelee kuna ile maintenance ya huba na mashamsham. Na si kiranga changu nimeyashuhudia mwenyewe kwenye simu😭
Nigaie wa kwako basi 🤪Sio masihara mme wa mtu ni mtamu.....☺️
Mmeo yuko wapi zurie.
Kwa kuwa umesema, huyo dada sio mtu wa kukwapua wanaume za watu, na kwa mumeo imetokea kibahati mbaya na hajui km baba ni mume wa mtu.
Basi muitee huyo dada na umpe onyoo kalii, naamini atamuacha chibaba wako.
Hiyo njia unayotaka kutumia, uta fail na uta fail haswaa, niamini mie.
Usijesema hukuambiwaa. Poleeeee sanaa.
We shauri ako, hatutaki vilio huku....vilio tumewaachia wanaume.Evelyn huko Misri si tulishatoka zamani. Nirudi kweli?
Nikugaie au tubadilishane😹😹😹Nigaie wa kwako basi 🤪
Alafu anasema hacheatTairi la spea hilo mkuu.
Unadanganya mpaka mtu unaweza kumpa kazi ya kishenzi namna hiyo ni wazi kuna yanayoendelea kati yenu.Huyu ex yupo tu na sio kwamba eti sisi ni marafiki mabeste. Ila kwa kazi hii ya kishenzi yeye ndo niliyemfikiria.