Nasema Hivi Simba akipita hii hatua Niwe banned kwa miezi 4

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Hii ID ni moja ya ID zinazogombewa sana humu ndani. Watu wanapanda dau niwaachie. Wengi baada ya kugundua kupitia ID hii siri kubwa sana.... Niliache hili.

Naangalia hapa kwenye kioo sioni. Naangalia tena sioni hata kwa kuibia ibia. HAMNA KITU YAANI ZERO KABISA. SIMBA HAIENDI SHINDA HATA NUSU GOAL.

Simba inaenda kuchabangwa South Africa inafurumushwa kurudi kugombea shirikisho la Bongo. Simba ni team mbovu sana.
 
WAkipita tukutibue vu..zee
 
Kama hii Simba ni Zero nani ni mkali kati ya aliyeshindwa kupata goli moja tu kwa Mkapa ili afuzu klabu bingwa na Simba?

Usije ikawa Wao ndio HEWA kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Trump anawachukia sana nyie wanaume mnaojifanya wanawake ili mchenjuliwe. Wachafu sana nyie.
Hiloooo shogaaa pyeeee..!!

Umeona ujiandikie uzi wa kuonyesha unavyogawa ki pumpkin chako..!!
Eti unagombewa dah..!! 😹😹😹

Kwahiyo unauza shingapi tukutafutie wateja??
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom