Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Exactly mkuu, mwanaume km Komeo Lachuma kutuonyesha ushoga wake hapa jukwaani na nyuzi zake za kugombewa id yake na wanaume ni dhahiri anaharibu jamii..!!Hakika Mkuu.
Humu ndani kuna Vichaa kabisa.
Niliwahi kutamani mambo kama
1. Wanachama wa Jf tuwe tunafanyiwa usahili.
2. Tupimwe akili.
3. Kuanzisha Uzi kuwe na Malipo.
4. Tuwe tunalipa Membership Fee.
5. Nyuzi za kijinga ziwe zinafutwa ndani ya sekunde Chache.