Nasema hivii nirudishieni pesa yangu, nimenyoa rasta zangu nikaleta CV hata kwenye interview sijaitwa si ujinga huu

Nasema hivii nirudishieni pesa yangu, nimenyoa rasta zangu nikaleta CV hata kwenye interview sijaitwa si ujinga huu

Ha hahaha. utaendaje kufanya interview na mirasta yako " kitendo cha kwenda na mirasta ndio kilicho kufanya ukose kazi rasmi..
"".... hahahaha waambie wakurudishie "" pesa yko aisee....
 
dah mkuu nakukaribisha siku ya idd home tupige mpunga na nyama za kutosha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nauza mayai ya kware na ubuyu wa zanzibar.
Kwa mahitaji yoyote nicheki PM

fe462d6b0606736fc65665f65ef7b4d5.gif
 
Siku ukienda kuharisha hapo kwa hiyo ofisi utuandie tena usisahau kuleta mrejesho...
 
Najua mnanisoma hapa, nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta cv zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa

Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu, la sivyo ntapiga bange zangu nije niharishe nnje ya ofisi zenu

The=the dem

Gwantaman

Peace and love

[emoji173]
Anza kula kitimoto sasa ili upate mavi mengi ya kunya ofisini kwao kila siku.!
 
Back
Top Bottom