Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cool down rastaNajua mnanisoma hapa,
Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.
Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.
The=the dem
Gwantaman
Peace and love
mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.
Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.