Nasema nanyi wanaume wenzangu

Nasema nanyi wanaume wenzangu

Eleza ulichoelewa.

Sasa unanihoji mimi badala ya kuchangia mada. Wewe namna gani!

Wewe umeelewa nini?
Tupe maaana ya definition ya ya uovu.

hili bandiko linaeleza mantiki na si mfumo dume kwamba kitu fulani mwanamke akifanya ni uovu ila mwanaume sio. Ndio maana inabidi utuonyeshe aidha kwenye maandiko kwamba kuna utofauti wa uovu kwa mwanamke na mwanaume au kisheria au vyovyote vile.
Ni suala Jepesi tu tuonyeshe maana ya uovu kwa mantiki
 
Unaelewa nini kuhusu uovu?
 
Unaelewa nini kuhusu uovu?
Una kichwa kigumu😂mkuu.

Umesema wewe uovu anaweza kufanya mwanamke ikawa ni uovu ila mwanaume ikawa sawa. sasa tuambie maanaya uovu kwa mantiki (logical) kivyovyote aidha kidini, kijamii au kisheria
MBona umekaza fuvu kitu chepesi hivyo😂
 
Ninachokataa ni wewe kunipinga ninachokiandika halafu unataka nitoe ufafanuzi.

Eleza unachokifahamu wewe na siyo kutegemea mimi nikulishe.
 
Uovu

Uovu ni kufanya kinyume au matendo yasiyo mema😂
Haya tuambie sasa kwa mantiki ipi mwanaume akifanya ni sawa mwanamke si sawa.
Popote pale.
 
Mwanzo 6: 5 “Bwana akaona ya kuwa MAOVU ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. 6 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. 7 Bwana akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya. 8 Lakini Nuhu akapata neema machoni pa Bwana.”

Soma hapo hakuna sehemu iliyosema kwamba mwanamke ni amefanya au mwanaume.
Uovu ni Uovu tu katika midhani ya kidini au mantiki au kisheria.

Ndio maana nilikuambia jamaa kaeleza vitu rahisi labda ukutaka kuelewa
 
Back
Top Bottom